Wabunge wa ujangili wasipotajwa, Bunge halina nia thabiti
KAMA kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali, basi ni vema Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iwataje wabunge wanaotuhumiwa kuhusika na ujangili wa wanyama pori, ili nao wawajibike....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Bunge la Katiba halina msemaji wa Serikali
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Bunge halina mamlaka kupigia kura rasimu ya wananchi
BUNGE Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma halina mamlaka ya kupigia kura rasimu ya wananchi kwa kuwa sio tu hawajatokana na wananchi bali pia yale ni maoni ya wananchi. Bunge...
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Wataka kamati iwataje wabunge wanaohusika na ujangili
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziWabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
5 years ago
CCM BlogCCM YAWAONYA WATIA NIA WANAOCHAFUA MADIWANI NA WABUNGE WANAOMALIZA MUDA WAO
Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Wenye nia za kugombea Udiwani, Ubunge katika Kata na Majimbo mkoani Kagera kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameonywa kuacha tabia ya kutoa kauli za kuwachafua madiwani na wabunge wanaomaliza muda wao kama njia rahisi ya kushinda nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu uliopamgwa...
10 years ago
MichuziVita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Wabunge wa Bunge la Katiba waaswa
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi.