Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka kamati iwataje wabunge wanaohusika na ujangili

>Wananchi mbalimbali wakiwamo wasomi na wabunge, wamelitaka Bunge kuweka wazi majina ya wabunge waliotajwa kuhusika na vitendo vya ujangili wa wanyamapori.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wa ujangili wasipotajwa, Bunge halina nia thabiti

KAMA kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali, basi  ni vema Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iwataje wabunge wanaotuhumiwa kuhusika na ujangili wa wanyama pori, ili nao wawajibike....

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wataka walindwe na polisi

 Felix MkosamaliMBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) ameomba Serikali iwape ulinzi wa polisi wabunge, kama inavyofanya kwa viongozi wengine, wakiwemo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wataka asilimia 30 ya wabunge

WATU wenye ulemavu jijini Mwanza, wamependekeza katiba mpya ijayo iamuru rais wa nchi asiteue wabunge watano kutoka kundi hilo maalumu, badala yake idadi hiyo ipatikane kwa asilimia 30 kati ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wataka mwandishi aombe radhi

Rais Jakaya KikweteWABUNGE nchini wamesema habari ya Gazeti la Uingereza la Daily Mail on Sunday kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inafumbia macho ujangili ni upotoshaji na serikali inapaswa kumtaka mwandishi huyo aombe radhi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabunge India wataka Marekani iwajibike

Wabunge nchini India wameitaka Marekani iwajibike kwa kumdhalilisha balozi wao Devyani Khobragade kwa kumfunga pingu na kumpekua

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka tume kuchunguza EFD

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara imependekeza kuundwa kwa tume huru kuchunguza uhalali wa bei za mashine za risiti za kielektroniki (EFD) kutokana na malalamiko ya wafanyabiashara nchi nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka JK aunde tume ya elimu

>Baadhi ya wabunge jana walichachamaa wakisema elimu nchini ipo mahututi na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu itakayochunguza mfumo wa elimu nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka wauza ‘unga’ wanyongwe

SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wa mwaka 2014, unaopendekeza wanaobainika kufanya biashara hiyo, watozwe faini ya Sh bilioni moja au kifungo cha maisha.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wataka Operesheni Mifugo irudie

WABUNGE wa majimbo ya Morogoro, wameiomba Serikali ya Mkoa kurudia Operesheni ya kuondoa Mifugo katika maeneo mbalimbali na Hifadhi ya Bonde la Mto Kilombero baada ya kurejea kwa mifugo hali inayosababisha uharibifu wa mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani