Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wataka JK aunde tume ya elimu

>Baadhi ya wabunge jana walichachamaa wakisema elimu nchini ipo mahututi na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu itakayochunguza mfumo wa elimu nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka tume kuchunguza EFD

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara imependekeza kuundwa kwa tume huru kuchunguza uhalali wa bei za mashine za risiti za kielektroniki (EFD) kutokana na malalamiko ya wafanyabiashara nchi nzima.

 

9 years ago

Raia Mwema

Rais Magufuli aunde tume maalumu

NINGEPATA nafasi ya kumshauri Rais Dk.

Privatus Karugendo

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Mke wa marehemu Mch. Mtikila aibuka na kumuomba Rais Kikwete aunde tume ya kuchunguza kifo cha mme wake

Mama Mtikila

Katibu Mkuu wa chama cha Democratic Party (DP) na Msemaji wa familia ambaye ni Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari mepema muda katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam. ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo suala la kutoridhishwa na ripoti ya jeshi la Polisi ambapo amemuomba Rais Dk. Jakaya Kikwete aunde tume huru ya kuchunguza kifo hicho. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[DAR ES...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka kuundwe Tume ya Utamaduni wa Kimila

UMOJA wa Machifu Tanzania (UMT) umewasilisha mapendekezo yao wanayotaka yaingizwe kwenye Rasimu ya Katiba mpya na miongoni mwao wanataka watambuliwe pamoja na kuundwe tume ya utamaduni wa kimila.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanazuoni wataka tume huru uchaguzi

WASOMI kutoka vyuo vikuu nchini, wamesema wanataka  mfumo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uwe huru. Rai hiyo waliitoa jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kongamano la ushiriki...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM wataka tume vurugu Zanzibar

Na Is-haka Omar, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya wafuasi 25 wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanatoka katika mkutano Makunduchi hivi karibuni.
Kauli hiyo ya CCM imekuja siku chache baada ya CUF, kuishutumu kuhusika na tukio la kupigwa na kujeruhiwa kwa wafuasi wake.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali Vuai, alikana chama chao kuhusika na kutukio...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waiponda PAC, wataka Tume huru

WAKATI Ikulu ikitoa taarifa na kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete atafanya maamuzi juu ya sakata la akaunti ya Escrow kuhusu maazimio ya Bunge, Jumuiya ya Wanazuoni wameibuka na kuponda maazimio ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

 

11 years ago

Mwananchi

Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

>Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka pembeni itikadi za kisiasa katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wataka asilimia 30 ya wabunge

WATU wenye ulemavu jijini Mwanza, wamependekeza katiba mpya ijayo iamuru rais wa nchi asiteue wabunge watano kutoka kundi hilo maalumu, badala yake idadi hiyo ipatikane kwa asilimia 30 kati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani