Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wataka tume kuchunguza EFD

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara imependekeza kuundwa kwa tume huru kuchunguza uhalali wa bei za mashine za risiti za kielektroniki (EFD) kutokana na malalamiko ya wafanyabiashara nchi nzima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka JK aunde tume ya elimu

>Baadhi ya wabunge jana walichachamaa wakisema elimu nchini ipo mahututi na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu itakayochunguza mfumo wa elimu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka bei za mashine za EFD nchini zipunguzwe

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuziuza mashine za kielektroniki kwa bei ndogo inayolingana na hali halisi ya biashara.

 

10 years ago

Habarileo

Tume kuchunguza mwanafunzi kujinyonga hospitali

UONGOZI wa Mkoa wa Kagera, umeunda Kamati kuchunguza chanzo cha kifo cha mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba, aliyejinyonga katika mazingira ya hospitali ya rufaa ya mkoa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tume ya Rwanda kuchunguza makala ya BBC

Serikali ya Rwanda imeunda Tume kutathimini makala ya BBC iliyorushwa kwa njia ya Televisheni kuhusu mauaji ya kimbari

 

10 years ago

Habarileo

DC aunda Tume kuchunguza mauaji ya simba

MKUU wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ameunda tume ya watu watatu wakisaidiwa na maofisa Wanyama Pori wa wilaya hiyo kuchunguza mauaji ya simba sita yaliyotokea katika kijiji cha Olasiti, kata ya Nkaiti Januari mosi mwaka huu.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Taarifa ya tume kuchunguza operesheni tokomeza yaiva



NA RACHEL KYALA TUME ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, inatarajia kuwasilisha taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wowote kuanzia sasa. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji (mstaafu) Hamisi Msumi, alisema hayo alipozungumza na Uhuru jana na kueleza kwamba wameshakamilika kazi. Alisema walifanya majumuisho ya taarifa na kukamilisha ripoti ambayo  wanapaswa kumkabidhi Rais Kikwete.
“Wakati wowote kuanzia leo, tutamwomba Rais Kikwete atupangie siku ya kukutana naye ili tumkabidhi ripoti...

 

10 years ago

Mwananchi

Bendera aunda tume kuchunguza migodi iliyoungua

>Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera ameunda tume maalumu ya kuchunguza chanzo cha moto uliotokea hivi karibuni katika migodi 16 ya madini ya Tanzanite ya Kitalu B (Opec) mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.

 

10 years ago

Vijimambo

DC KINONDONI AUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UBOVU WA BARABARA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu tume aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara katika wilaya hiyo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameunda tume ya wajumbe saba wakiwamo wawili kutoka serikalini kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara katika wilaya hiyo.

Akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani