Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachapwa bakora kwa kuvuruga familia Bukombe

Sungusungu wameaza kutekeleza maagizo ya viongozi wa Kijiji cha Ihulike, Kata ya Bukombe mkoani Geita la kuwachapa bakora wanaume waliopora fedha za mradi wa Maendeleo ya Jamii, (Tasaf) kutoka kwa wake zao na kwenda kunywea pombe wakikwamisha malengo ya kuziondoa katika umasikini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAREMBO WACHAPWA BAKORA

Waandishi wetu MAUSTADH jijini Dar es Salaam wamefikia uamuzi mzito wa kutembeza bakora kwenye vijiwe korofi vya warembo wanaojishughulisha na biashara haramu ya kuuza miili almaarufu kama machangudoa au machangu kwa kile kilichodaiwa kuwa wanasafisha jiji kutokana na kero za vishawishi vya kuharibiwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Maustadh wakimuadhibu mmoja wa machangudoa hao. Kwa mujibu wa sosi aliyewasiliana na...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM

    Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachapwa viboko kwa kushindwa kulipia mahafali

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza wanafunzi wa shule ya Sekondari Kivukoni katika halmashauri ya mji wa Geita Mkoani hapa wamepewa adhabu ya viboko wakilazimishwa kuchangia sherehe ya kuhitimu...

 

9 years ago

Habarileo

Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).

 

10 years ago

Mwananchi

Bakora sita za Ukawa kwa CCM

Uhakika wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutamba katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utategemea umahiri wake katika kukabiliana na vikwazo sita vinaonekana kuwa mwiba kwake ambavyo upinzani kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unatarajiwa kuvitumia kama mtaji wake katika kampeni.

 

9 years ago

StarTV

Daktari wa Hospitali ya Bukombe afukuzwa kazi kwa kukataa kutoa huduma

 

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Amani Mwenegoha amemfukuza kazi daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Bukombe Johanne Mkobwe kwa madai ya kukataa kutoa huduma kwa mtoto wa miezi sita aliyefikishwa Hospitalini hapo akiwa na hali mbaya kiafya.

Mtoto huyo Johson Manyama alifikishwa majira ya saa kumi asubuhi novemba 22 na wazazi wake na kumkuta daktari wa zamu amelala na alipoamshwa aliwafukuza na kuwaambia wasubiri hadi saa mbili yeye anapumzika.

Inadaiwa mtoto Johson alizidiwa mahira ya saa kumi...

 

11 years ago

Habarileo

Viwanda 3 kutozwa mil 90/- kwa kuvuruga mazingira

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binilith MahengeVIWANDA vitatu vinakabiliwa na adhabu ya faini ya Sh milioni 90 kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya kuhifadhi mazingira katika uendeshaji wake.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA BODABODA KWENDA KUKIOKOA KIJIJI CHA ILYAMCHELE KISICHOKUWA NA SHULE WILAYANI BUKOMBE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia usafiri wa pikipiki alipokuwa anakwenda Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge ambako aliendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya Ilyamchele akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Msafara wa Komredi Kinana ukivuka katika moja ya mio iliyopo Barabara ya Ilyamchele Gari lililombeba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani