Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachuuzi Soko la Ilala watwangana ngumi

WANACHAMA wa Chama cha Wachuuzi wa Mizigo Soko la Ilala, jijini Dar es Salaam, wamepigana katika mkutano wao baada ya Mwenyekiti wa chama hicho, Edwin Lukalambega, kushindwa kujibu hoja za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wachuuzi watelekeza soko Gonja

Wachuuzi na wafanyabiashara wa mazao ya chakula katika soko la Gonja-Maore, lililopo Kata ya Maore wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, wamelitelekeza soko la kisasa lililojengwa kwa Sh80 milioni kwa kile kilichodaiwa kukosekana kwa miundombinu muhimu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wagombea ubunge watwangana ngumi

KAMPENI za wagombea ubunge 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaojinadi kwa wanachama kabla ya upigaji wa kura ya maoni katika Jimbo la Arusha Mjini, juzi ziliingia dosari baada ya wagombea wawili kutwangana makonde wakati wa kikao cha majumuisho.

Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea ndani ya ofisi za CCM Wilaya ya Arusha saa 11:30 jioni wakati wagombea hao walipokaa na viongozi wa chama wilaya.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho zilizolifikia Raia Tanzania na kuthibitishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar

01

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto)  kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala  kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali,  Mjumbe wa Kamati ya...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vyumba vya kupimia nguo kabla ya kununuliwa katika soko la Mchikichini — Ilala jijini Dar vilitumika kudhalilisha wanawake

1

Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam jana wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya  kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.

Mwezeshaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

VYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE

Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya  kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.Mwezeshaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wakubwa msiwe wachuuzi - TIC

Wafanyabiashara wakubwa mkoani hapa wametakiwa kutofanya biashara za uchuuzi badala yake wawekeze kwa kujenga vitega uchumi mbalimbali, kama vyuo, shule na viwanda ili kulinda utajiri wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani