Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU DENIS B. MSAKI (NASIBU) NA SIAEL WALIVYOMEREMETA NDANI YA UKUMBI WA GREEN LEAF KIMARA KOROGWE

Kati kati ni Bwana na Bibi Denis (Nasibu) Msaki wakiwa na wasimamizi wao katika harusi yao takatifu iliyofungwa katika kanisa la Roman Katoliki parokia ya Mavurunza Kimara jijini Dar es salaam.Maharusi Denis na Siael wakimtanguliza Mungu kabla ya kuanza kwa sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Green leaf Kimara Korogwe. Bwana na Bibi Denis (Nasibu) Msaki siku ya jana ya tarehe 20/09/2014 ndio siku yao ambayo walikuwa wanaisubiri kwa muda mrefu baada ya kutimiza ndoto yao katika uchumba wao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uongozi wa msanii T.I washiriki semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki ndani ya ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar

 Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo moja ya swali lililoulizwa na mmoja  wasanii walioshiriki kwenye semina ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza  mahiri wa Muziki wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa

1

Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.

2

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.

3

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI WAENDELA, KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni  jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit - BRT)...

 

5 years ago

Michuzi

SAMIA NA JAKAYA WAUNGANA NA WADAU KUCHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA CCM PWANI

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
MAKAMU wa Rais na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete  wameungana na wadau , kwenye harambee ya kuchangia zaidi ya sh.milioni 500 ili kukamilisha ujenzi wa ukumbi wa CCM mkoani Pwani,":ambapo ameeleza chama hicho mkoa sio maskini badala yake waviendeleze vitega uchumi walivyonavyo.
Katika harambee hiyo, imeweza kupatikana kiasi cha sh.milioni 584.1 ikiwa fedha taslim milioni 113.4,ahadi milioni 471.6,mifuko ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA UALIMU KOROGWE, AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KOROGWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mtumishi wa umma asiyetaka kufuata maadili ya utumishi pamoja na maelekezo ya viongozi wake hafai kufanyakazi katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Aliyasema hayo jana jioni (Alhamisi, Machi 5, 2020) wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Korogwe na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa TTC Korogwe akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu alisema uaminifu na...

 

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

10 years ago

Bongo5

KTMA 2015: Red Carpet na ndani ya ukumbi ( Picha)

Tazama mastaa na wadau wa muziki walivyopendeza kwenye red carpet ya tuzo za KTMA 2015 zilizofanyika, Mlimani City jijini Dar es Salaam, June 13. Ommy Dimpoz akiwa na team yake Barnaba Elias na Dullah wa Planet Bongo Bata kwa kwenda mbele Christian Bella akiwa na Dulla Dullah Ambua akiwa na Nyoshi El Sadat Dullah wa […]

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, JIJINI DAR

 Mwandishi wa habari, Ndg Francis Dande (wa kwanza kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana  mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya huduma nyingine zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF. Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almasi Nyangasa akijaza fomu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani