Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wa elimu watakiwa kusimamia uandikishaji

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Omary Chambo amewataka wadau wa elimu kusimamia uandikishaji, mahudhurio na uhitimu wa wanafunzi kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari na ya watu wazima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANASIKILIZA MAONI YA WADAU WAO ILIKUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU

WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe.  Gaudensia Kabaka  akizindua Kongamano la siku mbili jijini Arusha leo linaloshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kujadili changamoto wanazozipata wadau hao wakati wa ufunguzi wa kongamano la siku mbili linaloshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kujadili changamoto wanazozipata wadau hao na nini cha kuongeza kwa vijana wanaopitia Veta na kupata ajira katika sekta mbalimbali sanjari na kuzindua kitabu kinachoanisha mahitaji ya...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AWATUNUKU VYETI WADAU WA ELIMU

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama akiongea na Global TV Online leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar wakati wa kutunuku vyeti wadau wa elimu. Wanahabari wakimhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Rosemary Lulabuka baada ya zoezi la kutunuku vyeti wadau wa elimu leo kwenye Hoteli ya…

 

9 years ago

StarTV

Wakurugenzi,wenyeviti watakiwa kusimamia mashirika ya umma Ili kuliingizia taifa faida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli amewaagiza wakurugenzi na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma nchini kuhakikisha taasisi na kampuni wanazosimamia zinazalisha.

Agizo hilo limetolewa na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru kwenye mkutano wa wakurugenzi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma .

Agizo la serikali limezilenga taasisi zake kuhakikisha zinajiendesha kwa faida na kuliingizia taifa faida ili kuendelea kutoa huduma kwa jamii kwa mashirika ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!

SAM_0215 Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha  zote  na Jumbe Ismailly).

Na. Jumbe Ismailly

[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.

Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MWALIMU LYIMO: Tunahitaji chombo huru cha kusimamia elimu

WAKATI akisoma hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014-2015 bungeni mjini Dodoma hivi karibuni; Waziri Kivuli Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA ELIMU


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa rai kwa watendaji wa Taasisi zilizo chini ya wizara yake kusimamia vizuri fedha za  miradi ya Elimu inayotelekezwa katika maeneo yao ili  ikamilike kwa wakati na ubora.

Waziri Ndalichako ametoa rai hiyo Jijini Dar es Salaam wakati akizinduzia Jengo la Utawala la Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) lililokarabatiwa na kuongeza ukubwa ambapo amesema Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi za miradi lakini haikamiliki...

 

11 years ago

Habarileo

Wadau wa sukari watakiwa kuwa waaminifu

SERIKALI imetaka wadau wa sukari nchini, kuwa na uzalendo wa hali ya juu katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu alisema kwa kufanya hivyo watapunguza matatizo yanayojitokeza mara kwa mara na malalamiko miongoni mwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani