Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wa sukari watakiwa kuwa waaminifu

SERIKALI imetaka wadau wa sukari nchini, kuwa na uzalendo wa hali ya juu katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu alisema kwa kufanya hivyo watapunguza matatizo yanayojitokeza mara kwa mara na malalamiko miongoni mwa wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nagu awataka wadau wa sukari kuwa wazalendo

Serikali imewataka wadau wa sukari nchini, kuwa na uzalendo katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo muhimu, ikieleza kuwa wakifanya hivyo watapunguza matatizo na malalamiko ya wananchi yanayojitokeza mara kwa mara.

 

10 years ago

GPL

WASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI

Wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari wakimsikiliza kwa makini maamuzi ya serikali  kuhusu bei ya sukari. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Stephen Wasira na Naibu wake (kushoto) Mh.Godfrey Zambi, Bi. Sophia Kaduma Katibu Mkuu (kulia) na Dkt.Yamungu Kayandabila (kushoto) wakifuatilia kwa makini mjadala baina yao na wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe Stephen Masatu Wasira amekutana na wadau wa sukari na kutoa tamko la serikali kuhusiana na kupanda kwa ya sukari hapa nchini. Mhe Wasira amewaagiza wazalishaji na wafanya biashara wa sukari hapa nchini kuingiza sukari sokoni badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu  Agizo hili la waziri limekuja muda mfupi baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1700/= iliyokuwa ikiuzwa awali hadi shilingi 3000 kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu watakiwa kusimamia uandikishaji

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Omary Chambo amewataka wadau wa elimu kusimamia uandikishaji, mahudhurio na uhitimu wa wanafunzi kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari na ya watu wazima.

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa sanaa, kumbi, watakiwa kujisajili Basata

KAIMU Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungeleza amewataka wasanii na wadau wote wanaojihusisha na shughuli za sanaa kujisajili kwa baraza hilo kupata vibali vya kuendesha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau watakiwa kuungana vita dhidi ya VVU

MGANGA Mkuu wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Dk. Godfrey Njile, amewataka wadau nchini kuungana, ili kupambana na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU). Dk Njile alitoa kauli hiyo hivi karibuni katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano

Dr-Florence-TurukaNa Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.

Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”

Akizungumzia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wataalamu wa mipangomiji watakiwa kutobadili mipango inayowekwa na wadau wa maendeleo

SAM_0007

Baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa na wawezeshaji kwenye mkutano wa uwasilishaji wa mpango wa jumla(Master plan) na kujenga uwezo juu ya utekelezaji wa uendelezaji miji (ULGS) uliofanyika kwenye majengo ya Chuo cha Ufundi cha VETA mjini Singida.

SAM_0008

Baadhi ya wadau mbali mbali wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida waliohudhuria kwenye mkutano wa uwasilishaji wa mpango wa jumla (Master plan) na kujenga uwezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani