Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanya mzaha kuhusu alipo Nkurunziza

Mamia ya Watu walidhihaki kwenye kurasa za mitandao ya kijamii kuhusu alipo Rais wa Burundi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha

Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Phuc Dat Bich akiri kufanya mzaha kuhusu jina lake

Raia mmoja wa Australia anayejiita Phuc Dat Bich,aliyegonga vichwa vya habari duniani baada ya kusema kwamba alikuwa akitaka kutumia jina lake sahihi katika mtandao wa facebook amekiri kwamba ilikuwa mzaha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza aonya kuhusu Al Shaabab

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu jaribio la mapinduzi na kuonya kuwa kuna tishio la shambulizi la Al shabaab

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza azungumza kuhusu uchaguzi

Marekani na jumuiya ya Ulaya wote wameitisha kuahirishwa kw a uchaguzi wa Burundi kufuatia wiki kadhaa za ghasia zinazopinga ugombeaji wa Pierre Nkurunziza

 

5 years ago

CCM Blog

CHID BENZ AKEMEA WANAOFANYA MZAHA MITANDAONI KUHUSU UGONJWA WA CORONA, ASEMA AMEACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, ANAJIANDAA KURUDI KWENYE 'GEMU'

Msanii wa muziki wa Bongofleva Rashid Abdallah (Chid Benz) akimweleza jambo Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza, katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo jijini Dodoma. Chid amemweleza Naibu Waziri kuwa wiki ijayo anatarajia kutoa video ya wimbo wake wa Beautiful na pia atatunga wimbo kuhusu virusi vya ugonjwa wa Corona.




Na Anitha Jonas – WHUSM
Mwanamuziki ambaye ni miongoni mwa wanamuziki waasisi wa muziki wa Bongofleva hapa nchini, Rashid Abdallah (Chid...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

9 years ago

Raia Mwema

‪Alipo hatupo, tulipo hayupo

Wao wana haki ya kumtaka Lowassa kama Rais wa Tanzania; na sisi tuna haki ya kumkataa Lowassa kam

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ALIPO-MINGLE DMV

IMG_6777Diamond akiwa na mapromota wake na wacheza shoo wake hotelini kwake Sheraton Silver spring Md Jumapili Desemba 7,2014. IMG_6781Akiwa na Sunday Shomari. IMG_6786 Diamond na shabiki wake mkubwa Bi.Mariam. IMG_6792Akiwa na shabiki wake Arthur Gao. IMG_6788Akiwa na Sima.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI

Na. Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.

Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani