Wafanyabiashara Songea walazimishwa kugoma
>Baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Songea wamelazimishwa na wenzao kuingia katika mgomo wa kupinga matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti za EFD.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Wafanyabiashara Tunduma watishia kugoma
WAFANYABIASHARA wa Samaki na Dagaa Mamlaka ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya wamekusudia kugoma kutoa huduma kwa lengo la kuishinikiza serikali kupunguza viwango vya ushuru wa bidhaa hiyo....
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Wafanyabiashara kugoma tena kesho
WAKATI uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini (JWT) wakisubiri kukutana na Rais Jakaya Kikwete, baadhi ya wafanyabiashara wameanza kusambaza ujumbe wenye kushinikiza mgomo kuanzia kesho. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili,...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Brela yawafunda wafanyabiashara Songea
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) imeendelea kuwasisitiza wafanyabiashara kujitokeza kusajili majina ya biashara zao, ili ziweze kurasimishwa. Akizungumza kwenye semina ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara mjini hapa...
10 years ago
Habarileo23 Oct
Wasichana sekondari walazimishwa kuolewa
SHULE ya Sekondari Ikola mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Mpanda, Katavi inakabiliwa na changamoto kubwa ya idadi kubwa ya wanafunzi kukatiza masomo kwa ajili ya kuolewa.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dVfU-IS-sxaEnhDiiM17JrFXAiNyvL7XfO2GYf1Z5AMD2csRyKgdqPbu68VKg1m4es*8aekGld1K3qvGC94vv*f/Dude.gif?width=650)
DUDE, ESTER WALAZIMISHWA KUPIMA NGOMA
10 years ago
Habarileo11 Jan
Wafanyakazi Tazara kugoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupitia Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (Trawu) wameazimia kuanza mgomo leo wakidai Serikali Sh bilioni 12.5 huku wakisitisha huduma za usafiri wa treni zote za mamlaka hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Chawaphata watishia kugoma
CHAMA cha Wamiliki wa Famasi nchini (Chawaphata), kimetishia kufanya mgomo wa kufunga maduka yao kama njia mojawapo ya kushinikiza kufanyiwa kazi kwa matatizo yanayowakabili kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa Chawaphata,...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mawakala pembejeo wadaiwa kugoma