Wafanyabiashara waahidiwa mikataba
Mgombea udiwani katika Kata ya Ngokolo kupitia CCM, Emmanuel Mlimandago ameahidi kuwa akichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, atahakikisha Manispaa ya Shinyanga inatoa mikataba kwa wafanyabiashara wa Soko la Majengo Mapya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Nov
Mfuko wa Ebola waahidiwa Afrika
9 years ago
Habarileo09 Oct
Waishio mipakani waahidiwa neema
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameahidi kuimarisha biashara baina ya Kenya na Tanzania ili wananchi wa mipakani wanufaike na biashara hizo na kutatua kero zao, ikiwemo ukosefu mkubwa wa maji katika mji wa Tarakea, huku akiahidi kuondoa ushuru kwa biashara ndogo za mipakani.
9 years ago
StarTV08 Sep
Wakazi Ilolo waahidiwa kujengewa mradi wa maji
Changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji inayowakabili wakazi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetajwa kubaki katika historia baada ya kuahidiwa ujenzi wa mradi mkubwa utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.
Kwa muda mrefu sasa, wakazi wa Jimbo la Kilolo hutumia muda mwingi kuipata huduma ya maji.
Ni hali ya kawaida kuiona mara tu ufikapo Ilula na katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika Wilaya ya Kilolo, shida ni namna ya upatikanaji wa huduma ya maji na kusababisha wakazi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s72-c/unnamed+(28).jpg)
KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAAHIDIWA MKOPO NA COVENANT BENKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s1600/unnamed+(28).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Makampuni yasitishiwa mikataba
HALMASHAURI ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imesitisha mikataba ya makampuni matatu ya ujenzi wa barabara kutokana na kushindwa kukamilisha mikataba yao kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Mkurugenzi mtendaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Tukigomea mikataba uchwara
NIANZE kwa kuwashukuru wasomaji wa safu hii inayotoka kila Jumamosi, kwa namna wanavyoshiriki kuchangia mawazo na wengine wengi kunipongeza. Na katika hilo, nipende kuwashukuru wale wote walioeleza kwa hisia kali...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Mikataba ya madini yafumuliwa
SERIKALI imefumua mikataba ya kampuni za uchimbaji madini hapa nchini kutokana na malalamiko ya wananchi kwamba hawafaidiki na mapato yatokanayo na mrahaba unaolipwa na wawekezaji hao. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Nordic kusaidia uandishi wa mikataba
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Lowassa kupitia upya mikataba
MAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Hali hiyo ilitokea mjini Songea jana jioni wakati Lowassa alipowasili akitokea Mkoa wa Njombe alikohutubia mikutano miwili ya hadhara juzi katika miji ya Makambako na Njombe.
Wakati wa mapokezi ya mgombea huyo mjini hapa, walikuwapo...