Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makampuni yasitishiwa mikataba

HALMASHAURI ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imesitisha mikataba ya makampuni matatu ya ujenzi wa barabara kutokana na kushindwa kukamilisha mikataba yao kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Mkurugenzi mtendaji wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shule ya Olmolog Vet yasitishiwa misaada

Mwekezaji Peter Jones, raia wa Uingereza amesitisha utoaji misaada ya kijamii kwa wakazi wa Ndarakwai wilayani Siha kutokana na kundi la wafugaji wa Kimasai kuvamia kambi yake ya kitalii na kuiteketeza.

 

9 years ago

Dewji Blog

TIGO yashiriki bonanza la michezo la makampuni

1

Timu ya kampuni ya Tigo ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wenye lengo la uhusiano bora wa makampuni.

2

Wachezaji wa Kampuni ya  Tigo na  Caspian wakichuana kwenye mpambano mkali jana viwanja vya Chuo cha Ardhi.

3

4

5

6

 

10 years ago

Tanzania Daima

TCAA yashauri makampuni ya ndege kujiunga

MAMLAKA ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewashauri wawekezaji wa makampuni ya ndege hapa nchini kujiunga na kuanzisha kampuni moja ili kujitanua katika soko la anga. Ushauri huo ulitolewa jana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Brela yatoa siku 90 kwa makampuni

brela-june20-2014(1)

Na Mwandishi wetu

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa makampuni kuwasilisha taarifa zao za mwaka za mahesabu zilizokaguliwa na Mhasibu anayetambuliwa kisheria,  vinginevyo kampuni zao zitafutwa na wao kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala huo na Msajili wa Makampuni, Frank Kanyusi, aliwaambia waandishi wa habari jiji Dar es Salaam jana kuwa wamiliki na wakurugenzi hao wa makampuni wanatakiwa kutumia siku hizo...

 

9 years ago

Bongo5

TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu

CKcRps5WwAAQTbR

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.

CKcRps5WwAAQTbR
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba

Hii ni taarifa kamili:

1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...

 

10 years ago

Michuzi

WAEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA UBELGIJI WAFANYA ZIARA ZANZIBAR.

 Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Dkt. Diodorus B. Kamala akielezea lengo la ujio wa wawekezaji kutoka Ubelgiji kuja kuwekeza nchini Tanzania alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kufuatia ujio wa wawekezaji wa nchi hiyo Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar Waziri wa Miundombinu na Mawasilino Juma Duni Haji akiwa na watendaji wake wakuu wakimsikiliza Meneja mauzo  wa Kampuni ya ujenzi ya Anglo Belgian Corporation ya Ubelgiji walipofanya mazungumzo Ofisini kwake...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni 37 yashiriki maonyesho ya siku ya Malaria nchini

A

Mkurugenzi wa kampuni  ya Frontline Porter Novelli  Bi. Irene Kiwia akimkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Suleiman Rashid kwenye maonyesho ya siku ya malaria yaliyofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

B

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid alipotembelea banda la malaria safe lililokuwa linasimamiwa na wafanyakazi wa Johnhopkins University kwenye maonyesho ya siku ya Malaria.

C

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM CHALI KATIKA FAINALI YA LIGI ZA MAKAMPUNI

Mchezaji wa Timu ya Vodacom Tanzania, Osca Coby akiwatoka wachezaji wa Timu ya CRDB katika fainali ya ligi za makampuni iliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Laureate International School jijini Dar es Salaam,CRDB waliilaza Vodacom1-0. Mchezaji wa Timu ya Vodacom, Carlos Sylvester (kushoto) akitafuta mbinu ya kumtoka mchezaji wa timu ya, BQ CONTRACTORS, Emil Michael katika fainali ya ligi ya makampuni iliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Laureate International School jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani