Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Airtel wachangisha fedha kwa ajili ya wanawake wanaougua kansa

Wafanyakazi wanawake wa Airtel wakitoa huduma ya chakula kwa wafanyakazi wenzao wakati wa tafrija fupi waliyoiandaa kwa dhumuni la kukusanya fedha ili kuwachangia wagonjwa wa kansa waliopo hospitali ya ocean road jijini Dar es salaam. jana Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Tanzania, Bw. Sunil Colaso akichangia fedha kwa huduma ya Airtel Money kupitia simu wakati wa tafrija fupi iliyoandaliwa na umoja wa wanawake wa Airtel Tanzania kwa dhumuni la kuwachangia wanawake wanaosumbuliwa na maradhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yasaidia wanawake wenye kansa

UMOJA wa wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania unaofahamika kwa jina la ‘Airtel Divas’ wameandaa hafla ya kuchangisha fedha ili kusaidia kinamama wanaosumbuliwa na maradhi ya kansa katika Hospitali ya Ocean...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL yakabidhi shilingi million Tano kwa wanawake kwa ajili ya Tuzo ya Mwanamakuka 2014

 
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (kushoto) akimkabithi mfano wa hundimwenyekiti na Mratibu wa Mradi wa The Unity of Women friends Maryam Shamo wakati wa halfa ya Tuzo za Mwanamakuka 2014 ambapo Airtel Tanzania ni moja kati ya Wadhamini wa tuzo hizo,  Bi Leil Mwambungu aliibuka na kutangazwa mshindi wa mwanamakuka 2014. Akishuhudia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Bank ya Wanawake  Tanzania Bi Margreth Chacha (wakwanza kulia), Hafla ya mwanamakuka ilifanyika jana katika ukumbi wa Escape 1...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa TIGO washiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar

3

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa (kushoto kwake) na Mkurugenzi wa Wellworth Tanzania, Saul Basckin.

1

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI 21 WA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro .Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini.
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 21 YA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WASHUKA KUTOKA MLIMA KILIMANJARO,WACHANGISHA MILIONI 800 KWA AJILI YA ELIMU TANZANIA.

Timu ya watu 21 ya wafanyakazi ,Ndugu na Marafiki wa Kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia wakishuka kutoka mlima Kilimanjaro ambako walipanda kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia elimu.Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya Acacia,Brad Gordon akiwa na Meneja wa Ustawi wa kampuni Asa Mwaipopo wakifurahia mara baada ya kushuka toka kaika kilele cha Uhuru ambako watu 19 kati ya 21 ndio walifanikiwa kufika kileleni.Meneja wa Kitengo cha Mawasiliano na...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO

Afisa mtoa damu wa mpango wa Taifa wa Damu Salama, Daudi Mkawa akimtoa damu mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Lizian Mushi.Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipojitolea kuchangia damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya watanzania wengine uchangiaji huo ulifanyika makao makuu ya vodacom Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu salama ili kuokoa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO‏

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu  salama ili kuokoa maisha ya watanzania wengine. Uchangiaji huo ulifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wanawake 30 wapima kansa Sabasaba


NA WILLIAM SHECHAMBO
WANAWAKE 30 wamejitokeza kupima afya zao ikiwemo saratani za kizazi na matiti kwenye banda la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road,  katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. 
Mmoja wa madaktari wa taasisi hiyo, Dk. Rehema Ngomola, alisema kati ya kinamama hao, mmoja ndiye aliyekutwa na viashiria vya saratani ya kizazi.
Alisema kutokana na takwimu hizo, idadi ya kinamama wenye maradhi ya ya saratani ya matiti na kizazi, inapungua hivyo kuwataka kujitokeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani