Wafanyakazi wa Radio 5 wanolewa na BBC Media Action
Mkufunzi mwandamizi Pendael Omari wa shirika lisilo la kiserikali la BBC Media Action akiwa anatoa ufafanuzi katika mafunzo hayo yaliyokuwa yakifanyika katika ofisi za Radio 5,mafunzo hayo yalidumu kwa takribani wiki mbili.
Mtangazaji maarufu wa kituo hicho Ernest Matundiro a.k.a Prince de la ville kushoto akiwa anaandika vipengele muhimu katika uandishi wa habari,kulia ni Mhariri wa kituo hicho Monica Nangu.
Msimamizi mkuu wa vipindi vya Radio 5 kulia Mathew Philip akiwa anafatilia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen02 Mar
Rwandan investigators to take action over BBC
9 years ago
TheCitizen19 Nov
Tanzanian media: Missing in action at our own peril
9 years ago
Bongo524 Aug
‘Nana’ ya Diamond yakamata namba 1 kwenye DNA Top 5 ya BBC Radio 1Xtra ya UK
9 years ago
Bongo505 Jan
Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza amtaja msanii wa Tanzania wa kutazamwa zaidi 2016
![bbc radio 1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/bbc-radio-1-300x159.png)
Mwaka unapoisha wafuatiliaji mbalimbali wa muziki huwa kwenye nafasi nzuri ya kuwafanyia tathmini wasanii kutokana na kazi walizofanya mwaka mzima, ambazo hutoa miongozo ya kutabiri nafasi ambazo wasanii hao wanaweza kuwa nazo katika mwaka unaofata.
Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza, DJ EDu ametaja orodha ya wasanii wake watano wa kuwatazama zaidi mwaka 2016, kutokana na kufanya vizuri mwaka 2015. Katika orodha hiyo amemtaja muimbaji wa Tanzania, Vanessa “Vee Money” Mdee ambaye...
10 years ago
CloudsFM15 Jan
10 years ago
CloudsFM28 Jan
9 years ago
Bongo504 Nov
Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio
![EAR - Online Promo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/EAR-Online-Promo-300x194.jpg)
Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?
Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.
Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.
“Show yangu itahusika na...
10 years ago
Michuzi16 Feb
KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI
![SAM_1097](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/-UdwQuoQRFfeQs694h5GuIA0LWQuOEqyGllXNMUAm74l9LfQJSwtS5jlMSjEc4A91OfxANwORGoO2tU8_xZS7IB2mQ4NJMe8Gq6WDIAtUQhiZCA=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/02/sam_1097.jpg)
Kushoto ni Mkuu wa vipindi vya Radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani. Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika tarehe 13/2/2015...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-gk6VntmlYTk/VXs2OYzttBI/AAAAAAAACCM/kpVHh79s4pI/s72-c/EAST%2BAFRICA%2BRADIO.jpg)