Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Tigo wapata fursa ya kusoma kupitia mtandao

IMG_0013

Mfanyakazi wa Tigo katika kitengo cha Tigo Biashara, Janeth Kwilasa akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Diego Gutierrez ya mfanyakazi aliyesoma kozi nyingi zaidi kupitia mfumo wa mtandao uitwao Millicom University kwenye hafla iliofanyika katika ofisi za Tigo, Dar es Salaam.

IMG_0019

Mkuu wa Tigo kitengo cha Intergrated Services, Kerion Barnes akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Diego Gutierrez ya mfanya kazi alieosoma kupitia mfumo wa mtandao uitwao Millicom University kwenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao

1

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.

Tigo Tanzania leo imekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wapata udhamini wa kusoma nchini Ireland

Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii ,Dar
Wanafunzi Chimbukizi wa Sayansi wameitaka serikali kuwekeza katika masomo ya sayansi ili nchi kuweza kupata watalaam ambao watasaidia kutatua changamoto katika jamii.
Hayo waliyasema leo wanafunzi wa Sayansi Chimbukizi walioshinda mashindano ya utafiti kwa kutumia malighafi asili ya kutengeneza dawa ya kuua Nzi na Mbuu ambao wamepewa udhamini na Mfuko wa  Karimjee Jivanjee  (KJF)wa kwenda kusoma nchini Ireland.
Wanafunzi hao ni Dharia Amour Ali na Salma...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUNGUA MRADI WA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI MWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajaub Rutengwe (mwenye suti katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa UNHCR na Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mara baada ya kufungua mradi wa kusoma masomo kwa njia ya mtandao katika Sekondari ya Katumba,Mkoani humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya

Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoendeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.

Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika  kila mwaka katika mataifa tofauti tofauti ya Afrika....

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa wakulima wapata viongozi wapya

Mjumbe wa lililokuwa Bunge la Katiba, Veronica Sophu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata).

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Shulesoft yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao, wanafunzi kusoma wakiwa nyumbani bila gharama

Mkurugenzi Mkuu wa shulesoft, Efraim Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kutamburisha huduma ya bure kwa wanafunzi wa shule za awali, shule za msingi pamoja na shule za sekondari kwaajili ya kujisomea notes(waraka) wakiwa nyumbani kwa kipindi hiki ambacho wamefunga shule kwaajili ya ongezeko la mripuko wa virusi vya COVID 19.
Na Avila Kakingo, globu ya jamiiTAASISI isiyo ya kiserikali ya Shulesoft hapa nchini yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani