Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafariki baada ya basi kuacha njia

Basi hilo liliacha njia baada ya ajali hiyo na kuwagonga watu hao waliokuwa wakitembea kwa miguu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:Watu wawili wanaidaiwa kufariki kufuatia ajali ya Basi la Super Feo kuacha njia na kugonga mti

Watu wawili Wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo  katika  eneo la  Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma,ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti. Aidha inaelezewa kuwa chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi. Sehemu ya basi hilo la Super Feo lionekanavyo pichani likiwa limepondeka pondeka baada ya kuacha njia na kugonga mti
Baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA JNIA BAADA YA NDEGE YA KENYA AIRWAYS KUACHA NJIA

Mmoja wa abiria katika ndege ya Shirika la Ndege la Kenya akitoka kwenye ndege hiyo. HALI ya hofu ilitanda miongoni mwa abiria walikuwa katika ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) baada ya ndege hiyo kudaiwa kuteleza na kunasa njia kuu na kufanya ndege nyingine kushindwa kutua uwanjani hapo. Chanzo cha ajali hiyo ni mvua kubwa inayoendelea kunyesha iliyoanza leo asubuhi mpaka muda huu ikiwa bado inanyesha. Abiria...

 

10 years ago

Michuzi

DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA

Dereva aliyekuwa akiendesha gari lenye namba za usajili T.910 CYF aina ya Toyota Noah aliyetambulika kwa jina la Stanford Luenje (30) mkazi wa mbozi alifariki dunia baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka huko eneo la Mlowo Wilayani Mbozi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya  1....

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA BASI LA SABUNI EXPRESS KUGONGAA USO KWA USO NA TOYOTA LAND CRUISER ENEO LA BUGORORA MKOANI KAGERA

 Watu wanne wanasadikiwa kufariki dunia baada ya Basi la Kampuni ya Sabuni Express linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Mwanza kugongana uso kwa uso na Gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa imebeba Masister eneo la Bugorora,ikitokea Bukoba mjini kuelekea Mutukura.Baadhi ya miili ya marehemu waliofariki katika ajali hiyo
Askari wa Usalama barabarani akiwa eneo la tukio.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa

Abiria 11 waliokuwa wakisafiri na basi la Kampuni ya Burudani kutoka Korogwe kuelekea Dar es Salaam akiwamo dereva wamefariki, huku wengine 55 wakijeruhiwa baada ya basi hilo aina ya Nissan kuacha njia na kupinduka kwenye kona wakati likijaribu kupishana na lori aina ya Fuso.

 

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Watano wafariki ajali ya basi Handeni

Watu watano wamekufa hapo hapo na wengine 39 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Matro walilokuwa wakisafiria kutoka Rombo kwenda Dar Es Salaam kuacha njia na kupinduka  katika Kijiji cha Manga kata ya Mazingara wilayani Handeni.

 

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki dunia ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani