Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuata huduma za afya kilomita tisa

WANANCHI wa Kijiji cha Chonde, Kata ya Makanda, Tarafa ya Mundemu, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, wanalazimika kufuata huduma za afya umbali wa kilomita tisa, kutokana na kijiji chao kutokuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akizindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akipiga makofi baada ya kuzindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akiongea na watumishi Kituo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA TATHMINI YA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR

Makamu wa Pili w Rais wa Zanzibar Balozi Seifa Ali Iddi akifungua mkutano wa tisa wa tathmini ya sekta ya Afya Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanizibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufungua mkutano wa tisa wa tathmini ya Afya Zanzibar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AZINDUA KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LEO.

Pichani juu na chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Afya,Dkt.Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Bwa.Hamisi Mdee  akizungumza katika kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa tisa wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamalizika katika ngazi ya wataalamu mjini Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Amantius C. Msole akifuatilia kwa jambo kwa makini wakati wa mkutano wa Kisekta Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort mjini Unguja Zanzibar. Mkutano huo unaendelea katika ngazi ya Makatibu Wakuu. Wajumbe wa Mkutano wa Kisekta wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiendelea na majadiliano ya Mkutano huo unaoendelea katika ukumbi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Azam wafuata makali ya Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani