Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafungwa,na walinzi wauawa katika jela Iraq

Askari polisi kadhaa wa Iraq pamoja na wafungwa karibia 30, wameuawa, wakati wafungwa zaidi ya 50 walipotoroka jela

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Walinzi 20 wa mpakani wauawa Misri

Maafisa nchini Misri wanasema kuwa takriban walinzi 20 wa mpakani wameuawa katika shambulizi la kizuizi huko libya.

 

11 years ago

BBCSwahili

HRW:Serikali ya Iraq iliwauwa wafungwa

Shirika la haki za binaadamu,Human Rights Watch lasema kuwa vikosi vya serikali ya Iraq vinadaiwa kuwauawa zaidi ya wafungwa 250

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wa Al Jazeera wafungwa Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu jela wandishi 3 wa shirika la habari la Al Jazeera .

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al Jazeera wafungwa jela

Serikali ya Misri imewahukumu jela kati ya miaka saba na kumi wandishi wa Al Jazeera

 

9 years ago

BBCSwahili

Makamanda wa Iraq wauawa na waasi wa I-S

Makamanda wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la Iraq wameuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya gari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wafungwa 250 watoroka jela DRC

Wafungwa wasiopungua 250 katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walitoroka gerezanimajira ya alfajiri

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanenguaji wawili wafungwa jela Misri

Wacheza densi wawili wamefungwa jela miezi sita Misri kwa kuchochea uasherati baada yao kucheza videoni wakivalia nusu uchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Takriban watu 100 wauawa Iraq

Inahofiwa kuwa takriban watu 100 wakiwemo watoto kadha wameuawa kwenye shambulizi la bomu mashariki mwa Iraq

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi wanane wafungwa jela Afrika Kusini

Maafisa wanane wa polisi waliopatikana na hatia ya kumtendea unyama raia wa Msumbiji mwaka 2013 wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 kila mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani