Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea urais wagongana msiba wa Komba

Msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba jana uligeuka uwanja wa siasa, baada ya makada wa CCM wanaotajwa kugombea urais pamoja na wapambe wao kupigana vikumbo na kurushiana vijembe, ikiwa na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wapigana vikumbo kwa Komba

kombaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba (CCM), kimewafanya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotajwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kupigana vikumbo huku kila mmoja akizungumzia umuhimu wa kiongozi huyo.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria msiba nyumbani kwa marehemu, Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam ni pamoja Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard...

 

10 years ago

Mwananchi

Msiba wa Kapt Komba: Bunge lasema

>Mbunge wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa kundi la uhamasishaji la CCM, Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni mstaafu John Komba (61), amefariki dunia jana.

 

10 years ago

GPL

SHILOLE ATIA AIBU MSIBA WA KOMBA

IMELDA MTEMA/Amani MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amepondwa vibaya katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Mhe. Kapt. John Komba, baada ya kuvaa kigauni kilichombana na kumuonyesha maungo yake ya mwili mbele ya viongozi mbalimbali wa Serikali akiwepo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Mwanamuziki wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed...

 

10 years ago

GPL

NAPE, NISHA KIVUTIO MSIBA WA KAPT. KOMBA

Na Hamida Hassan: Umahiri wa hali ya juu wa uimbaji ulioneshwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na msanii wa filamu Salma Jabu ‘Nisha’ juzikati walikuwa kivutio kwa waombolezaji waliokuwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar ambako mwili wa marehemu Kapteni John Komba ulikuwa ukiagwa. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye (katikati) akiimba wimbo maalum na wasanii...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA

Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.

Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...

 

10 years ago

Vijimambo

DR WILBROAD SLAA AHUDHURIA MSIBA WA CAPTAIN JOHN KOMBA

Katibu mkuu wa CHADEMA DR Wilbroad Slaa akitia saini kitabu cha Wageni alipofika kuhudhuria msiba wa Kada Maaarufu wa CCM Ambaye Pia Mbunge wa Mbinga Magharibi Captain John Komba.

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA KUHANI MSIBA WA KAPTEN KOMBA

 Waziri Mkuu Mstaafu,Mh Edward Lowasa akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumban kwa Marehem Capt. J komba kuwapa pole wanafamilia na ndg Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.

  Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa  Nape Nnauye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Msiba Wa Komba: Wema Atoboa Kuwa Yeye ni Mwana CCM

Watu mbali mbali wakiwemo  waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha  jinsi  walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha  yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.

Mwigizaji  Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo  na kutoa kuwa  yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi  (CCM)kama alivyokuwa marehemu.

“Dah ni pigo kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani