Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagonjwa wajisaidia kwenye mifuko

BAADHI ya wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Hai, wanalazimika kujisaidia katika mifuko ya plastiki maarufu kama ‘Malboro’ kutokana na ubovu wa miundombinu ya vyoo vya hospitali, kujaa na kukosa huduma ya maji safi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MIFUKO YA PAMOJA KWA WANANCHI

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa makubaliono. Faida ipatikanayo hugawanywa kwa wawekezaji kulingana na uwiano wa uwekezaji waliofanya katika mfuko husika.
Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 600 wajisaidia vichakani

ZAIDI ya wanafunzi  600 wa Shule ya Msingi Kayaki iliyopo Kata ya Ilima wilayani Rungwe mkoani Mbeya, wapo hatarini kupata magonjwa ya milipuko kutokana na kukosa vyoo hatua inayosababisha wajisaidie...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Marasibora wajisaidia vichakani

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Marasibora iliyoppo Kata ya Kisumwa, wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wanajisaidia vichakani baada ya vyoo vya shule hiyo kuanguka. Hatua hiyo inatokana na uongozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .

Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo

Kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Global Vision, kilichopo Chekereni Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro kinakabiliwa na ukosefu wa choo hali inayosababisha watoto kujisaidia vichakani.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIWETE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KWENYE HOSPITALI YA MKOMAINDO HUKO MASASI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wauguzi katika hospitali ya Wilaya ya Masasi, Mkomaindo, mara baada ya kuwasili hospitalini hapo kwa ajili ya kuwatembelea wagonjwa tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimwelekeza Bibi Zauda Amuli,18, mkazi wa Mtaa wa Moroco namna ya kumnyonyesha mtoto wake mchanga aliyezaliwa tarehe 17.3.2015 katika hospitali ya Mkomaindo huko Masasi tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimchukua mtoto mchanga kutoka kwa mama...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI NGULI WA BRAZIL PELE AMELAZWA HOSPITAL KWENYE CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU)

Mchezaji wa siku nyingi nchini Brazil na aliyeiwezesha Brazil kunyakua kombe la Dunua mara tatu  amelazwa hospitali ya mjini Sao Paulo kwa maambukizi baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo ya mchezaji huyo.

Pele mwenye miaka 74 alilazwa kwenye hospitali hiyo  jumanne wiki hii baada ya kupata maambukizi kutokana na kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo mwezi uliopita.

Madaktari wa hospitali ya Albert Einstein ya mjini Sao Paulo wamesema hali ya mchezaji huyo inaendelea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani