Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagonjwa wazidi kufurika Mwananyamala yafurika

Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, imezidi kufurika wagonjwa, huku baadhi yao wakilala chini hali inayoweza kusababisha maambukizi ya magonjwa mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA EID MUBARAK NA WATOTO WAGONJWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

 Baadhi ya wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation wakichukua baadhi ya Madawa ya kufanyia usafi ambayo taasisi hiyo imechangia katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam kuboresha usafi katika Hospitali Hiyo Kubwa Jijini Dar es Salaam. Dr. Mohamed wa Wizara ya Afya, Mh. Asha Mtwangi Mjumbe Bunge Maalum la Katiba na Ndugu Hassan Swedi, Meneja wa Fedha BORDA – Tanzania wakisikiliza kwa makini taarifa ya Muuguzi wa zamu juu ya Changamoto za kuwaangalia...

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie. Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Mabibo beer na...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi washawishiwa kufurika Muungano 51

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiWANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake wametakiwa kufika kwa wingi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazofanyika kesho katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MASTAA KUFURIKA... DAR LIVE SIKU YA KRISMASI

Na Mwandishi wetu
BURUDANI juu ya burudani! Mastaa mbalimbali wa filamu wanatarajiwa kufurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem jijini Dar, siku ya Krismasi katika tamasha maalumu lililopewa jina la Mtoko wa Mastaa, likiambatana na shoo ya nguvu yenye mchanganyiko wa Bongo Fleva, Hip Hop na Taarabu kutoka kwa wasanii nguli wa miondoko hiyo. Wema Sepetu. Siku hiyo, mashabiki watapata nafasi ya kupiga picha...

 

10 years ago

GPL

MAGEREZA YA BRAZIL YAFURIKA

Wafungwa wa nchi ya Brazil. MAGEREZA NCHINI Brazil yamejaa wafungwa, hasa yale yenye watuhumiwa walikokutwa na kesi kubwa kubwa zikiwemo za kukutwa na biashara ya madawa ya kulevya.
Kutokana na wingi wa wafungwa hao, wamesababisha kutokea kwa vurugu za mara kwa mara zinazosababisha matumizi ya nguvu kubwa kutoka kwa vyombo vya usalama, wakiwemo polisi.
Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa, jumla ya wafungwa 75 waliuawa katika...

 

10 years ago

Habarileo

MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma yafurika, wajumbe wawasili vyumba vyaadimika

>Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwasili mjini Dodoma, Ofisi ya Bunge imetangaza kuandaa utaratibu wa malazi kwa wajumbe hao katika hoteli mbalimbali mjini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani