Wananchi washawishiwa kufurika Muungano 51
WANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake wametakiwa kufika kwa wingi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazofanyika kesho katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Wagonjwa wazidi kufurika Mwananyamala yafurika
11 years ago
Habarileo19 Mar
Warioba- Muungano ni wa wananchi
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema faida kubwa iliyopatikana katika miaka hamsini ya Muungano, ni kuungana kwa wananchi. Amesema hayo jana alipokuwa akiwasilisha Rasimu ya Katiba Mpya katika Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma.
11 years ago
GPL
MASTAA KUFURIKA... DAR LIVE SIKU YA KRISMASI
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Maoni ya wananchi kuhusu Muungano
JUMATANO iliyopita tulichapisha mojawapo ya hotuba za Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 kuhusu Muungano. Kwa mtazamo wake, Muungano ukivunjika, matokeo yake ni kusambaratika kwa Watanganyika...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Muungano uamuliwe kwa kura za wananchi
MVUTANO wa muundo wa serikali mbili au tatu uliogubika Bunge Maalumu, umelifanya Baraza la Mahusiano ya Dini mbalimbali kwa Amani Tanzania (IRCPT), kutaka kura ya maoni ifanyike ili wananchi waamue...
10 years ago
Michuzi21 Sep
Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...
10 years ago
Vijimambo21 Sep
MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...
9 years ago
Dewji Blog25 Sep
Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania kuzindua ripoti ya Sauti za Wananchi LEO
Bi. Rose Mlay-Mratibu wa Taifa, Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania akifafanua jambo katika moja ya shughuli za Muungano huo wa Utepe Mweupe hapa nchini. Muungano huo asubuhi ya leo katika makao makuu ya ofisi zao, wanatarajia kuzindua rasmi ripoti ya sauti ya wananchi.
Soma hapa kwa taarifa zaidi:
UZINDUZI WA RIPOTI YA SAUTI ZA WANANCHI.pdf
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...