Wahalifu hatari watoroka polisi Dar
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekumbwa na kashfa kubwa baada ya watu wawili wanaodaiwa kuwa wahalifu sugu kutoroka katika Kituo cha Polisi Kurasini usiku wa kuamkia juzi.
Watuhumiwa hao, wanadaiwa kushiriki matukio makubwa ya uhalifu ambayo yametikisa nchi katika siku za hivi karibuni.
Taarifa za uhakika ambazo MTANZANIA imezipata jana kutoka kwenye vyanzo vyake ndani ya jeshi hilo, zinasema watuhumiwa hao walikuwa watatu, lakini...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Polisi walaumiwa kulinda wahalifu
JESHI la Polisi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam limeshutumiwa kuwa limeshindwa kudhibiti vitendo vya uuzaji dola bandia karibu na Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam. Baadhi ya mashuhuda...
11 years ago
Habarileo28 Sep
Wahalifu wanaotubu kanisani kuripotiwa Polisi
KANISA Anglikana linakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kulegeza masharti ya sheria zake ili wachungaji waweze kuripoti uhalifu wanaousikia kutoka kwa waumini wao wanaoungama. Utaratibu huo umeshaanza kutekelezwa na Kanisa Anglikana Australia ambalo limeruhusu wachungaji kuripoti polisi uhalifu uliobainika wakati wa maungamo ya waumini.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu
10 years ago
Habarileo08 Jan
Daftari la wahalifu laanzishwa Dar es Salaam
KUIBUKA kwa makundi ya vijana ya uhalifu Dar es Salaam, kumesababisha uongozi wa mkoa kuanzisha daftari maalumu la kudumu la taarifa za wahalifu wote wa jiji hilo, ikiwa ni harakati za kumaliza tatizo hilo.
10 years ago
Vijimambo
DAFTARI LA WAHALIFU LAANZISHWA DAR ES SALAAM ILI KUWADHIBITI PANYA ROAD

10 years ago
GPLASKARI POLISI WASIONEE RAIA, NI HATARI!
10 years ago
Habarileo19 Sep
Polisi yaua majambazi hatari Arusha
WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi ambao ni raia wa Kenya pamoja na Mtanzania mmoja wameuawa katika mapambano na polisi yaliyotokea eneo la Chekereni mpakani mwa wilaya ya Arumeru na Jiji la Arusha.
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...