Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahamiaji 100 kutoka Asia wanaswa Uganda

Polisi mjini Kampala wamewanasa wahamiaji 100 kutoka bara Asia ambao walikuwa wameletwa na walanguzi wa binadamu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wahamiaji 2,000 wanaswa wakijiandikisha

Idara ya uhamiaji nchini imesema inawashikilia wahamiaji haramu 2,048 kutoka nchi mbalimbali kwa tuhuma za kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahamiaji haramu 12 wanaswa Tanga

Polisi wilayani hapa imewakamata wahamiaji haramu 12 wenye asili ya Ethiopia wakiwa wamefichwa katika gari lililokuwa likielekea Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Wahamiaji haramu 15 wanaswa vitambulisho vya taifa

Afisa uhamiaji mkoani Pwani, Grace Hokororo
Idara ya Uhamiaji mkoani Pwani imenasa majina 15 ya watu wanaodaiwa kuwa wahamiaji haramu waliojiandikisha kwenye Zoezi la Vitambulisho vya Taifa.
Afisa uhamiaji mkoani Pwani, Grace Hokororo, ameiambia NIPASHE kuwa tayari wamepata majina hayo ambapo hatua inayofuata ni kuwakamata na kuwahoji ili kupata uhalali wa uraia wao.

“Tutachukua maelezo yao tukiridhika kuwa si raia wa Tanzania tutawachukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuwapeleka...

 

5 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 51 TOKA ETHIOPIA WANASWA WILAYANI BAGAMOYO MKOANI PWANI

NA VICTOR MASANGU, BAGAMOYOJESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata Wahamiaji haramu 51 walioingia nchini kupitia bandari bubu ya ya Makurunge Tarafa ya Yombo Wilayani Bagamoyo Mkoani hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo alisema wahamiaji hao walikamatwa majira ya saa 11 alfajiri Mach 19.
Wankyo alisema, watuhumiwa hao walikabidhiwa kwa vyombo vingine vya dola kwa taratibu za kisheria waweze kuchukuliwa hatua.
Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU WAPATAO 51 WANASWA WILAYANI BAGAMOYO MKOANI PWANI,WAPIMWA CORONA

NA VICTOR MASANGU, BAGAMOYO
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata Wahamiaji haramu 51 walioingia nchini kupitia bandari bubu ya ya Makurunge Tarafa ya Yombo Wilayani Bagamoyo Mkoani hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani  Wankyo Nyigesa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo alisema wahamiaji hao walikamatwa  majira ya saa 11 alfajiri Mach 19.
Wankyo alisema, watuhumiwa hao walikabidhiwa kwa vyombo vingine vya dola kwa taratibu za kisheria  waweze kuchukuliwa hatua.
Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Habarileo

Makahaba kutoka Rwanda wanaswa Dodoma

WANAWAKE wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba.

 

10 years ago

Vijimambo

USIKOSE!!! Tamasha la Uimbaji kutoka kwa Watoto yatima kutoka Uganda

Save a Date! Weka kwa Kalenda yako! Jumanne Mei 12, 2015 Saa moja Kamili JioniIbada ya Kiswahili - Columbus, Ohio (IYK) inawakaribisha wote kupata Baraka za Watoto Choir kutoka Uganda! Karibu na Mkaribishe Rafiki!!
Kuhusu Watoto Choir!

Watoto ni mpango kamilifu wa huduma ambao ulianzishwa ili kukabiliana na idadi kubwa ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu nchini Uganda, ambaomaisha yao yamekabiliwa na vita na magonjwa mbalimbaliTembelea tovuti ya Watoto : www.watoto.com

Kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

USIKOSE!!! Tamasha la Uimbaji kutoka kwa Watoto kutoka Uganda

Save a Date! Weka kwa Kalenda yako! 

Jumanne Mei 12, 2015 Saa moja Kamili Jioni

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio (IYK) inawakaribisha wote kupata Baraka za Watoto Choir kutoka Uganda! 

Karibu na Mkaribishe Rafiki!!


Kuhusu Watoto Choir!

Watoto ni mpango kamilifu wa huduma ambao ulianzishwa ili kukabiliana na idadi kubwa ya watoto yatima na    wanaoishi katika mazingira magumu nchini Uganda, ambaomaisha yao yamekabiliwa na vita na magonjwa mbalimbaliTembelea tovuti ya Watoto : www.watoto.com

Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani