Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahandisi wataka Hati ya Muungano iwe nyongeza ya Katiba

>Baraza la Katiba la Taasisi ya Wahandisi Tanzania, limependekeza Hati ya Makubaliano ya Muungano ya mwaka 1964, iwekwe kwenye Katiba Mpya kama nyongeza, ili kuepusha udadisi na chokochoko zinazozalisha kero zisizoisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaahidi kuwasilisha hati ya #Muungano Bunge la #Katiba [VIDEO]

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wassira ametoa ahadi hiyo katika kikao cha Bunge hilo Maalum mjini hapa mapema Jumatatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]

>Hoja hiyo iliibuliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliyeshauri kanuni ya 4 ya kuliendesha Bunge hilo Maalum irekebishwe ili wajumbe wapate nyaraka au taarifa yeyote wanayoihitaji.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hati iwe halisi au siyo, mjadala ufungwe’

>Maria Sarungi ameomba mjadala kuhusu Hati ya Muungano ufungwe hata kama itakayowasilishwa bungeni haitakuwa halisi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka idadi ya wabunge iwe 400

WAKATI rasimu ya katiba inayopendekezwa na Bunge ikitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano liwe na wabunge wasiozidi 360 badala ya 75 waliopendekezwa na Tume ya Jaji Joseph Warioba katika muundo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wataka kila nyumba iwe na huduma ya intaneti

Serikali imetakiwa kuhakikisha mawasiliano ya intaneti yenye kasi yanafika kwenye makazi ya watu na maeneo yote ya kazi ili kuwa na uhakika wa elimu, biashara na masoko.

 

10 years ago

Michuzi

WATAKA WESTERN SAHARA IWE HURU KUJIAMULIA HATIMA YAKE

 Na Mwandishi Maalum, New York Umoja wa Mataifa unaitambua Western Sahara kuwa ni Koloni ambalo linapashwa kuondokana na minyororo ya ukoloni , liwe huru na lijiamulie mambo yake yenyewe kama taifa huru. Hata hivyo tangu mwaka 1963 Western Sahara ilipotambuliwa kuwa koloni, pamoja na michakato mbalimbali inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na wadau wengine wengi, bado safari ya koloni hilo pekee Barani Afrika ya kuikata minyororo ya ukoloni inazidi kuwa ...

 

10 years ago

Vijimambo

WATAKA WESTERN SAHARA IWE HURU KUJIAMULIA HATIMA YAKE

Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akichangia majadiliano ya jumla kuhusu agenda ya umalizaji wa ukoloni katika makoloni 17 yanayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa likiwamo la Western Sahara koloni pekee katika Bara la Afrika. Akizungumza kwa niaba ya Tanzania Balozi Mwinyi pamoja na mambo mengine alirejea wito Uliotolewa na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipolihutubia Baraza Kuu la Umoja...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tutaandamana JK akisaini nyongeza Bunge la Katiba’

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limeazimia kuongoza maandamano kote nchini, kama Rais Jakaya Kikwete ataridhia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani