Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahenga akabidhiwa gari ‘Uza na Ushinde’

KAMPUNI ya Silafrika Tanzania Ltd inayojihusisha na kutengeneza vifaa vya plastiki, imekabidhi mshindi wa ‘Uza na Ushinde’ Fatuma Wahenga kutoka FM J Hardware gari aina ya Suzuki Carry. Akizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mteja wa Benki ya NBC Tawi Bukoba akabidhiwa zawadi kubwa ya gari la Promosheni ya Weka Upewe

Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Pius Tibazarwa (katikati) akikabidhi funguo kwa mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe, Josephat Ruyongo mkazi wa Bukoba, ya gari lake jipya alilojishindia la Nissan Hardbody katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NBC, Mussa Jallow. Gari hilo lina thamani ya zaidi ya sh milioni 54. Mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe ya Benki ya NBC, mkazi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

5 years ago

Michuzi

Tigo yazindua Promosheni ya Bid-2-Win (Toa bei Ushinde)

Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichanoI). mapema leo katika uzinduzi wa promosheni ijulikanayo kama ‘Bid-2-Win’ au Toa bei ushinde itakayowapa wateja nafasi ya kununua bidhaa mbalimbali kwa bei ya chini. Katika promosheni hiyo wateja wateweza kujishindia zawadi zenye thamani ya hadi Sh5 milioni. Pembeni yake ni Mtaalam wa huduma za ziada Fabian Felician. Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akijibu...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE

BENKI ya NMB Jana ilikabidhii zawadi kwa washindi wa promosheni ya Weka na Ushinde. Zaidi ya wateja 165 walijishindia zawadi mbali mbali ikiwa ni: washindi 17 wa Bajaj, wa Pikipiki aina ya ‘Boxer’ 16 na Baiskeli aina ya ‘Phoenix’ 137.
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

9 years ago

Michuzi

Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika vituo mbali mbali vya GAPCO jijini Dar es salaam kujipatia mafuta ya bure. Jumla ya Wateja 25 hupata bahati ya kuwekewa mafuta bure. Kushoto ni Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy na kulia ni Mejena Mradi wa GAPCO, Mohit Sharma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani