Wajane kata ya Msalala Mbeya wadai kupokonywa mali wanapokata kurithiwa
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki katika warsha ya mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP) wakiwa katika warsha ya siku mbili jijini Mbeya.
Baadhi ya waraghbishi wa ngazi ya jamii kutoka kata ya Msalama wilaya ya Mbeya vijijini wakiwa katika warsha hiyo.
Mwezeshaji wa warsha hiyo akiwaonyesha baadhi ya mambo yaliyoibuliwa na waraghbishi wa ngazi ya jamii wilaya ya Mbeya vijijini.
Na MatukiodaimaBlog
WAKATI serikali na wanaharakati mbali mbali wakiendelea ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QDA_Hder4FI/XvHBvs1hMmI/AAAAAAALvCY/-DPixU5G2-ASyW6B1KVYIWC2V-R_7sUegCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault%25280%2529.jpg)
SIKU YA WAJANE DUNIANI, ZAIDI YA WAJANE MILIONI 250 WANAISHI KATIKA DIMBWI LA UMASIKINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-QDA_Hder4FI/XvHBvs1hMmI/AAAAAAALvCY/-DPixU5G2-ASyW6B1KVYIWC2V-R_7sUegCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault%25280%2529.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVKUPOTEZA wenza ni jambo linalovunja mioyo ya wanawake wengi duniani hasa kwa nchi zinazoendelea, wajane katika nchi hizo wamekuwa na muendelezo wa kutafuta mahitaji yao muhimu, haki zao pamoja na utu ambapo katika baadhi ya tamaduni nyingi za kiafrika huwachukulia wajane kwa namna ya tofauti ikiwemo kurithiwa na ndugu wa mume na...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Wazabuni Mbeya wadai kufilisika
MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
UVCCM Mbeya wadai Nyerere alimkataa Malecelea
MAKAMU Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Malecela ametakiwa kukumbuka namna alivyokataliwa na hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1995 kutojihusisha na mapendekezo ya mgombea wa...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Kaseja mali ya Mbeya City
KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amelikimbia Jiji la Dar es Salaam na kuanzia msimu ujao atakuwa jijini Mbeya baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Mbeya City.
10 years ago
VijimamboKATA YA MWASANGA NA TEMBELA MKOANI MBEYA ZAPATIWA ELIMU KUHUSU JOTOARDHI
Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Kuendeleza Jotoardhi Tanzania (TGDC) Bi. Johari Kachwamba akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela kuhusu majukumu ya TGDC leo 7 Agosti, 2015 Mkoani Mbeya.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-S1ChLfbBI9w/VgV8qJO9dAI/AAAAAAAAH5U/BnWkuXRdf_I/s72-c/Dr%2B%2BRevathi.jpg)
Thalassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-S1ChLfbBI9w/VgV8qJO9dAI/AAAAAAAAH5U/BnWkuXRdf_I/s640/Dr%2B%2BRevathi.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-S1ChLfbBI9w/VgV8qJO9dAI/AAAAAAAAH5U/BnWkuXRdf_I/s72-c/Dr%2B%2BRevathi.jpg)
halassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-S1ChLfbBI9w/VgV8qJO9dAI/AAAAAAAAH5U/BnWkuXRdf_I/s640/Dr%2B%2BRevathi.jpg)
Na Mwandishi Wetu,
Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Tineja Mnigeria kupokonywa dhahabu