Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali sasa kunufaika wajasiriama

Wajasiriamali nchini wanatarajia kunufaika na elimu juu ya matumizi ya huduma ya nishati mbadala baada ya mradi wa biashara ya kuzalisha nishati mbadala nchini (Taberi) kuzinduliwa jijini hapa jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAJASIRIAMALI NCHINI KUNUFAIKA NA SEMINA MAHSUSI

Wajasiliamali hao wakiwa kwenye picha ya pamoja. WAJASIRIAMALI nchini watanufaika na semina mahsusi zitakayofanyika katika mikoa mbalimbali ambapo pamoja na elimu ya ujasiriamali watapatiwa pia mbinu za biashara na namna rahisi ya kupata mikopo. Semina hizo ambazo ni ukombozi kwa wajasiriamali wengi nchini,  zitakuwa na mafunzo toka kwa wajasiriamali waliofanikiwa nchini ambao ni  Riziki Buberwa na Eric Shigongo. Semina...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YARAHISISHA UPATIKANAJI WA MAJI BUKOBA, KAYA ZAIDI YA 18,103 SASA KUNUFAIKA

Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawiro akizungumza na wananchi wa mtaa wa Kisindi waliojitokeza katika uzinduzi wa vilula vya maji, leo.

Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Kaya Zaidi ya 18,103 zenye wakazi wapatao 90,517 Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera zinatarajia kunufaika na upanuzi wa mtandao wa maji kutokana na ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa kwa thamani ya shilingi bilioni 2.4 hadi kukamilika kwake.

Taarifa ya utekelezaji wa mradi huo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar

Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).

2

Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.

Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

 Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF) Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate mwegelo. Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji...

 

9 years ago

Habarileo

Tanzania kunufaika na MEFMI

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na Chombo cha kutoa Mafunzo ya Usimamizi wa masuala ya Uchumi kwa Watendaji wa nchi wanachama wa chombo hicho (MEFMI) kwa Afrika Mashariki na Kusini.

 

10 years ago

Mwananchi

Tz kuendelea kunufaika na misaada

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazoendelea kunufaika na misaada kutoka nchi za Marekani, Austria, Sweden na Ujerumani kupitia wataalamu wake wakiwamo wahandisi wasiokuwa na mipaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima 4,900 kunufaika

Wakulima 4,900 wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, wanatarajia kunufaika na mpango wa kulipia asilimia 50 ya pembejeo za kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kahawa kunufaika

Wakulima wa kahawa nchini wataendelea kunufaika na zao hilo baada ya kuanzishwa kwa viwanda vya usindikaji.

 

11 years ago

Michuzi

CULTURAL WARS SASA IMEKAMILIKA NA SASA UNAWEZA KUPATA COPY YAKO, PITIA HII TRAILER.

Filamu Mpya ya Cultural Wars Sasa Yapatikana! Wahi Kujipatia DVD! 

Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD na unaweza kupata “electronic Copy” Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo vijana wa Kitanzania hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani