Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima 4,900 kunufaika

Wakulima 4,900 wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, wanatarajia kunufaika na mpango wa kulipia asilimia 50 ya pembejeo za kilimo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kahawa kunufaika

Wakulima wa kahawa nchini wataendelea kunufaika na zao hilo baada ya kuanzishwa kwa viwanda vya usindikaji.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima wa Tangawizi Same kunufaika kiuchumi

Na Zephania Renatus,

Same.

Tatizo la ukosefu wa barabara lililokuwa likiwakabili wakulima wa zao la Tangawizi kufikisha mazao yao kiwandani katika kata ya Mamba Myamba wilayani Same Mkoani Kilimanjaro huenda likamalizika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya serikali kwa kushirikiana na benki ya maendeleo ya afrika kutenga kiasi cha shilingi bilioni 2. ili kukamilisha ujenzi wa barabara hizo.

 

Barabara hizo mbili zenye urefu wa kilimota 13.9 zinazopita katika vijiji nne vya...

 

9 years ago

StarTV

Wakulima wa zao la mihogo kuanza kunufaika

Wakulima wa zao la muhogokanda ya ziwa wanataraji kufaidika na soko jipya la Muhogo baada ya kupatikana kwa mdau anaye tumia zao hilo kuzalisha chakula cha kuku

Kutokana na  uwekezaji huo Sasa wakulima wataokoa zaidi ya asilimia 30 ya sehemu ya muhogo iliyokua ikipotea baada ya kumenywa

Kwa muda mrefu mhogo umekua ukionekana kama zao Duni na wakulima wake kuishi katika dhiki kubwa kutokana na uhaba wa masoko na bei ndogo

Idara ya Chakula na Lishe Nchini Tanzania  kwa kushirikia na mradi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Iringa kunufaika ruzuku ya pembejeo

WAKULIMA wa Mkoa wa Iringa wanatarajia kunufaika kupitia Benki ya Wananchi Mufindi (Mucoba Bank PLC), kwa kuanza kupewa mikopo ya pembejeo kwa vikundi vya wakulima kwa riba nafuu na kulipwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki

WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima Liwale kunufaika na mbegu za alizeti, ufuta

Chama cha Kuuza na Kununua Mazao cha Umoja, kilichopo wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi kimeanza kutekeleza mradi wa kugawa mbegu za alizeti na ufuta kwa wakulima zaidi ya 700 zenye thamani ya Sh6 milioni.

 

10 years ago

Michuzi

Wakulima wa Kahawa Mbozi kunufaika na bilioni 1.35 kutoka Heifer International

Na. Mwandishi Wetu
Shirika lisilo la Kiserekali la Heifer International limepokea ufadhili wa Shilingi bilioni 1.35 (USD 750,000) kutoka Starbucks Foundation ili kuwasaidia  wakulima wadogo wadogo wilayani Mbozi kupitia mradi wa Heifer unaojulikana kama “Mbozi Farmer Livelihood Improvement Project”. Fedha hizi zinatarajia kuziwezesha jumuiya za wakulima wadogo wadogo wa zao la kahawa wa nchi za Afrika Mashariki kuboresha na kuinua viwango vya maisha.
Fedha hizi ni sehemu ya mkakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!

wakulima

Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.

Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa,  Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani