Wajumbe waongo kukiona
>Rasimu ya Kanuni za Uendeshaji wa Bunge la Katiba, zinawabana wajumbe wa bunge hilo na sasa atakayebainika kusema uongo anaweza kupewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao visivyozidi vitatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Apr
‘Msidanganyike na wanasiasa waongo’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Paulo Makonda ametaka wananchi nchini kutodanganywa na baadhi ya wanasiasa wanaotumia ajenda ya Katiba, bali wawaeleze changamoto zinazowakabili, ikiwa ni pamoja na zile walizowaahidi wananchi kuzitekeleza.
9 years ago
Habarileo27 Sep
Makongoro ashukia wanasiasa waongo
MJUMBE wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuepuka wanasiasa waongo na badala yake waipe kura CCM kwa kumchagua Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Utafiti:Watoto waongo ni werevu
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Waongo Bunge la Katiba wadhibitiwe
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kumbe waongo ni wagonjwa wa akili?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmlM9vg49rZrRXg2S6e1P3GMTFLPCAnRoreykmTJnazvTpRQt3AzhQzsMNbPDZ5mq1nl8ulHcWHlbz9Cuf3vwFLA/whatsApp.jpg?width=650)
WHATSAPP YAWAKABA KOO ‘WAONGO’
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Adhabu kwa waongo ni kufungiwa vikao vitatu
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
10 years ago
Bongo529 Aug
Juma Nature: Wanawake wengi waongo, bado nipo nipo sana