Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WHATSAPP YAWAKABA KOO ‘WAONGO’

Kuanzia leo uongo kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp itakuwa historia, au kudai kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa mchana kweupe.
Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia
Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa. Whatsapp haijatoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Msidanganyike na wanasiasa waongo’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Paulo Makonda ametaka wananchi nchini kutodanganywa na baadhi ya wanasiasa wanaotumia ajenda ya Katiba, bali wawaeleze changamoto zinazowakabili, ikiwa ni pamoja na zile walizowaahidi wananchi kuzitekeleza.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe waongo kukiona

>Rasimu ya Kanuni za Uendeshaji wa Bunge la Katiba, zinawabana wajumbe wa bunge hilo na sasa atakayebainika kusema uongo anaweza kupewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao visivyozidi vitatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Waongo Bunge la Katiba wadhibitiwe

Kila mara mjumbe wa Bunge la Katiba anapoonekana kutoa maneno yanayodhaniwa kuwa ni ya uongo, hasa kuhusu mmoja au kundi la wajumbe wa Bunge hilo, mwenyekiti huombwa kutoa mwongozo ili huyo anayesema aweze kuthibitisha madai yake au kudhibitiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kumbe waongo ni wagonjwa wa akili?

Katika mihangaiko yangu ya kila siku nimekutana na watu waongo, yaani wanapenda kudanganya kiasi kwamba hata wao wenyewe huwa wanajiongopea.

 

9 years ago

Habarileo

Makongoro ashukia wanasiasa waongo

MJUMBE wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuepuka wanasiasa waongo na badala yake waipe kura CCM kwa kumchagua Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Watoto waongo ni werevu

Wanasayansi nchini Uingereza wanasema kuwa wana ushahidi kwamba watoto wanaodanganya bila mtu kugundua wana kumbukumbu nzuri ikilinganishwa na wale wasiodanganya.

 

11 years ago

Mwananchi

Adhabu kwa waongo ni kufungiwa vikao vitatu

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wameelezwa kuwa yeyote atakayesema uongo wakati wa kujadili kwa lengo la kuboresha Rasimu ya Pili ya Katiba, ataadhibiwa kwa kuzuiliwa kuhudhuria vikao vitatu.

 

10 years ago

Mwananchi

RC ‘aikaba koo’ Halmashauri Moshi

Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama limeonekana ‘kuwasha moto’ kwa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi baada ya kutaka wanyang’anywe asilimia 80 ya maeneo inayoyashikilia kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali, Bunge wakabana koo

Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani