Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wapata msosi kwa kuponi

 Wajumbe wa Bunge la Katiba wanaofanyia vikao vya kamati katika ofisi za Hazina mjini hapa, wamekuwa wakipata chakula cha mchana kwa kuponi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe wapata hofu kamati za bunge

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kuwa na hofu kwa madai kuwa kamati zilizoundwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta,  zinalenga kutoa nafasi kwa wenyekiti wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana anywa chai nyumbani kwa balozi wa shina, ala msosi kwa mama lishe Iringa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi.

 Watoto wakipanda kwenye uzio wa nyumba ili wapate...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ANYWA CHAI NYUMBANI KWA BALOZI WA SHINA, MSOSI WA MCHANA KWA MAMA LISHE IRINGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA GLOBAL WAKIPATA MSOSI

Wafanyakazi wa Global Pubilshers Ltd, wakipata msosi katika sherehe ya kuukaribisha mwaka 2014 ndani ya Chadibwa…

 

10 years ago

Michuzi

MSOSI TIME KABLA YA MECHI

Wachezaji wa timu ya Mbeya City, wakipata chakula kwenye moja ya mgahawa katika mji wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, wakati timu hiyo ilipokwenda kucheza mechi ya kirafiki ya dhidi ya kombanini ya timu za City na Shinyanga United za wilayani humo. Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Majimoto na timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. PICHA: GODFREY KAHANGO

 

11 years ago

GPL

MSOSI WA KIGENI WAMSHINDA RAY

Stori: Hamida Hasan
MASHOKOLO mageni! Kaka mkubwa kunako kiwanda cha filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na msosi wenye asili ya kigeni na kushindwa ‘kuusosomola’. Kaka mkubwa kunako kiwanda cha filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu na kuibua hamasa kwa mashuhuda lilitokea juzikati...

 

11 years ago

GPL

STEVE ANASWA AKIPIGA MSOSI WA MAANA

Steve Nyerere akigonga menyu. MWENYEKITI wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amenaswa akipiga msosi wa maana. Katika pitapita za hapa na pale, kamera yetu ilimnasa Steve maeneo ya Sinza katika hoteli maarufu ya Shamool akila msosi wa maana na alipohojiwa alidai kuwa ameshazoea kula kwenye hoteli zenye hadhi  kwani anaogopa uswahilini atanaswa na mapaparazi.
Steve baada ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

MSOSI NA WANAKIJIJI, PA ZA AINA YAKE; KAMPENI SERIKALI ZA MITAA

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kisumba, Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya Operesheni Delete CCM katika vijiji vya mkoa huo Naibu akikumbatiana na mzee ambaye alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye mkutano wa Operesheni Delete CCM uliofanyika katika Kijiji cha Samazi, mkoani Rukwa. Mzee huyo ambaye alitokwa na machozi wakati akisikiliza hotuba, alisema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani