Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKALA SALUM KANYUNYA WA SHINYANGA AKABIDHIWA MEZA

Mwakilishi wa Global Publishers Mkoa wa Shinyanga, Gasper Mchele (kulia) baada ya kukabidhiwa meza.
Baadhi ya wauza magazeti wa Mkoa wa Shinyanga baada ya kukabidhiwa meza zao wakiwa katika picha ya pamoja.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AY meza moja na Obama

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’ ni miongoni mwa wasanii wa Afrika walioalikwa na Rais Barrack Obama wa Marekani kutembelea Ikulu ya nchi hiyo (White House)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meza yazidi kujiimarisha

TIMU ya taifa ya mpira wa meza iliyoweka kambi nchini China, imezidi kuongezewa mashindano ya kujipima nguvu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wachezaji wanaounda timu hiyo, Amon Tumaini, alisema katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Muungano wetu unahitaji meza ya majadiliano na maridhiano

Maoni ya Mhariri

Tahariri

MOblog Tanzania

JUZI Waziri Kivuli wa Muungano na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Mbunge Tundu Lissu aliitaka serikali kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi wa sita wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.

Lissu alikuwa akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Msemaji huyo wa Kambi Rasmi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MEZA YA BALOZI WA HARAKATI ZA IMETOSHA HENRY MDIMU

Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu wakinilaumu kutokana na tukio la mtoto Baraka Cosmas (picha ya kwanza) ambaye usiku wa kuamkia leo amekatwa mikono yake. Wanasema nilikuwa nakula Bata Uwanja wa Taifa huku watu wanateketea. Hasa alikuwa akiongea mtu anaitwa @hmgeleka. Kwanza nalaani kitendo hicho cha kikatili  na kuzidi kumuomba Rais...

 

11 years ago

GPL

HALMASHAURI YA JIJI YABOMOA MEZA ZA MACHINGA POSTA DAR

Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera yetu maeneo ya Posta Mpya…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAENDELEA KUTOA MEZA KWA WAUZAJI MAGAZETI DAR

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akipeana mkono na mmoja wa wauza magazeti eneo la Kituo cha Makumbusho, Dar baada ya kumkabidhi meza. Muuza magazeti huyo wa Kituo cha Mabasi cha Makumbusho akipanga magazeti yake.…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAGAWA MSAADA WA MADAWATI NA MEZA ZA WALIMU WILAYANI HAI

DSC_0358Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 40 na meza za walimu wenye thamani ya sh. milioni 5 katika shule za msingi  Mwaramu,iliyomo wilayani humo,huku msaada huo ukiwa umetokana na faida inayopata benki hiyo.
Akiongea baada ya kukabidhi msaada huo,meneja wa benki  hiyo kanda ya kaskazini, Vicky Bishubo alisema benki hiyo imeamua kutoa msaada wa madawati hayo baada ya kuona shule nyingi zikikosa madawati na wanafunzi wake wakikaa chini kwenye sakafu.
Alisema kutokana na hali hiyo wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani