Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakanusha kupanda kwa maisha

Hali ya biashara, mfumko wa bei na gharama za maisha mji wa Dodoma, vimeendelea kuwa kawaida tofauti na ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini, imeelezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Hadhari ya maisha kupanda yatajwa Bungeni

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Kidawa Saleheimesifu juhudi za serikali za kutaka kuongeza fedha kwenye Mfuko wa Umeme Vijijini (REA) kwa kupandisha bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, lakini ikaitaka serikali kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza kwa hatua hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakenya wakanusha kupambana na polisi kwa saa sita

Raia wawili wa Kenya ambao wanadaiwa kupambana na polisi kwa saa sita jijini Arusha Julai 20, 2007, wamekanusha vikali kuwapo katika nyumba hiyo wakidai ushahidi huo ni wa uongo.

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO

SEHEMU YA JENGO LA HOTEL HIYO LIONEKAVYO KWA NJE.MENEJA WA HOTEL HIYO BI.BEATRICE DALLARIS AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI,JUU YA  TAARIFA ZA UZUSHI ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMI KUWA HOTEL HIYO IMEUNGUA MOTO MAPEMA LEO JIJINI ARUSHA.
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kupanda na Kushuka kwa Shirikisho la Filamu

SHIRIKISHO la filamu Tanzania (TAFF) lipo kwa miaka kadhaa huku tukishuhudia changamoto nyingi zinazokabiri shirikisho hilo ambalo pamoja na kuanzishwa kwake ni chombo kisichotengeneza fedha kutokana na vyama vinavyounda TAFF kukosa miradi kama michango kutoka kwa wanachama wake.

Mwakifwamba

Rais wa Taff Mwakifwamba

Taff imekuwepo kitambo lakini imekuwa Lulu baada ya kuanzisha michakato yenye tija kwa wasanii na wadau husika kwa chombo hicho kilicho chini ya Rais wake Simon Mwakifwamba ambaye amefanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tunzeni mazingira kwa kupanda miti’

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, amewahimiza wananchi kushirikiana katika upandaji miti, ili kuzuia mmomonyoko wa ardhi, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mjema...

 

10 years ago

Habarileo

Kushuka, kupanda kwa nauli wiki ijayo

Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema hatma ya uamuzi kuhusu iwapo nauli ishuke au la itajulikana wiki ijayo.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yabebeshwa zigo kupanda kwa dola

Na Michael Sarungi
CHAMA cha Masoko ya Fedha ya Ndani na Nje tawi la Tanzania (ACI), kimetoa wito kwa Serikali kupunguza manunuzi ya bidhaa zisizokuwa na umuhimu kwa kutumia dola kutoka nje ili kukabiliana na anguko la shilingi ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa chama hicho tawi la Tanzania, Ivan Tarimo toka katika Benki ya Stanbic, alisema kwa kiwango fulani Serikali imechangia kushuka kwa thamani ya shilingi.
Alisema kitendo cha Serikali...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi walizwa kupanda kwa gharama Muhimbili

Baadhi ya wananchi wamelalamikia mabadiliko ya gharama za utoaji huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa madai kuwa wanaumia kutokana na kuwa na vipato vidogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani