Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hadhari ya maisha kupanda yatajwa Bungeni

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Kidawa Saleheimesifu juhudi za serikali za kutaka kuongeza fedha kwenye Mfuko wa Umeme Vijijini (REA) kwa kupandisha bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, lakini ikaitaka serikali kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza kwa hatua hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Suala la usalama wa maisha majuu : Hadhari na tahadhari

Saa saba usiku. Navinjari maduka machache, makubwa makubwa yasiyofungwa kucha kutwa. Maduka ya Waturuki. Kimya cha fisi, saa hizi za usingizi, mitaa ya London. Kisicholala, hali kadhalika, ni taa za barabara na magari yasiyokwisha Ulaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakanusha kupanda kwa maisha

Hali ya biashara, mfumko wa bei na gharama za maisha mji wa Dodoma, vimeendelea kuwa kawaida tofauti na ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini, imeelezwa.

 

11 years ago

Habarileo

TFDA yatoa hadhari maziwa ya watoto

MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imehadharisha wafanyabiashara wanaoendelea kuuza bidhaa hususani maziwa zenye picha za watoto ama kutokuwa na maandishi katika Kiswahili na Kiingereza na kusema bidhaa hizo zitakuwa hazijasajiliwa.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wapewa hadhari kulinda taifa

Pereira Ame SilimaNAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, ametoa mwito kwa Watanzania katika mikoa ambayo uandikishaji wa vitambulisho vya taifa unaendelea, wawe makini kutambuana ili kuwataja wanaowashuku kuwa si raia wa Tanzaia, ili wachunguzwe kabla ya kuandikishwa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Natoa hadhari, vinginevyo ICC haikwepeki — 2

HAPA nchini Chama cha Mapinduzi wana kikosi cha green guard ambacho hakijasajiliwa ndani ya katib

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa atoa hadhari kuhusu Katiba Mpya

 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuwa waangalifu ili mchakato wa Katiba Mpya usiwe sababu ya kupigana au kufarakana ili kupata Katiba itakayoendelea kudumisha amani, upendo, utulivu na ushirikiano.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza maRC, DC kuchukua hadhari ya ebola

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia ameagiza waganga wakuu wa mikoa na Halmashauri za Wilaya kuongeza kiwango cha kuchukua hadhari juu ya ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Mwananchi

VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi

>Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaotaka kuvunjwa kwa SUK Zanzibar, wachukue hadhari kabla ya hatari

Ni miaka minne sasa tangu kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), ambayo kwa kiasi kikubwa imerejesha siasa za kistaarabu, ushindani wa sera za vyama, amani na utulivu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani