Suala la usalama wa maisha majuu : Hadhari na tahadhari
Saa saba usiku. Navinjari maduka machache, makubwa makubwa yasiyofungwa kucha kutwa. Maduka ya Waturuki. Kimya cha fisi, saa hizi za usingizi, mitaa ya London. Kisicholala, hali kadhalika, ni taa za barabara na magari yasiyokwisha Ulaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Jun
Hadhari ya maisha kupanda yatajwa Bungeni
imesifu juhudi za serikali za kutaka kuongeza fedha kwenye Mfuko wa Umeme Vijijini (REA) kwa kupandisha bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, lakini ikaitaka serikali kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza kwa hatua hiyo.
11 years ago
BBCSwahili19 May
Tahadhari usalama wako
10 years ago
Dewji Blog13 May
Jeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma kwa madereva nchini
Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo limesitishwa hadi hapo litakapokamilika kwa mchakato wake. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa madereva nchini, Clement Masanja. Taarifa hiyo aliitoa leo jijini katika ukumbi wa habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam. (Picha na Andrew Chale wa Modewji blog).
TAARIFA KWA UMMA
Hivi karibuni nchi yetu...
10 years ago
GPLTAHADHARI: KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI, DEREVA KUWA MAKINI, EPUSHA MAISHA YA ABIRIA
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES SALAAM (ENDESHA SALAMA-OKOA MAISHA)
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Panda, kushuka majuu 2013
11 years ago
Habarileo19 Jun
TFDA yatoa hadhari maziwa ya watoto
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imehadharisha wafanyabiashara wanaoendelea kuuza bidhaa hususani maziwa zenye picha za watoto ama kutokuwa na maandishi katika Kiswahili na Kiingereza na kusema bidhaa hizo zitakuwa hazijasajiliwa.
10 years ago
Habarileo03 Jul
Watanzania wapewa hadhari kulinda taifa
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, ametoa mwito kwa Watanzania katika mikoa ambayo uandikishaji wa vitambulisho vya taifa unaendelea, wawe makini kutambuana ili kuwataja wanaowashuku kuwa si raia wa Tanzaia, ili wachunguzwe kabla ya kuandikishwa.
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
Natoa hadhari, vinginevyo ICC haikwepeki — 2
HAPA nchini Chama cha Mapinduzi wana kikosi cha green guard ambacho hakijasajiliwa ndani ya katib
Mwandishi Wetu