Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Natoa hadhari, vinginevyo ICC haikwepeki — 2

HAPA nchini Chama cha Mapinduzi wana kikosi cha green guard ambacho hakijasajiliwa ndani ya katib

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tehama kwa walimu nchini haikwepeki

Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi. Yamebadili mwenendo wa maisha, utendaji wa kazi, shughuli za kijamii, siasa, uchumi na hata elimu.

 

10 years ago

GPL

NI HURUMA TU, VINGINEVYO NISINGEKUNYWA!

NIWE mkweli, nilianza kunywa pombe zamani sana wakati ningali bado mdogo. Nimeambiwa awali nilikuwa nanyweshwa na wakubwa kwa kuwa nilikuwa napenda sana kulia, hivyo ili ninyamaze nilikuwa napewa kibakuli cha ulanzi, nikinywa tu nalala watu wanaendelea na shughuli zao za kujenga Taifa letu changa bila kusikia kelele za kitoto kikilia. Miaka mingi ilipita hatimaye nikawa nimehama kijijini kwetu na kuja mjini kuanza kujitegemea na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dengue itibiwe kitaalamu, si vinginevyo

Nchi yetu inapita katika kipindi kigumu wakati huu kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ambao awali ulidhaniwa kuikumba Dar es Salaam, lakini sasa umeenea katika maeneo mengi.

 

11 years ago

Habarileo

TFDA yatoa hadhari maziwa ya watoto

MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imehadharisha wafanyabiashara wanaoendelea kuuza bidhaa hususani maziwa zenye picha za watoto ama kutokuwa na maandishi katika Kiswahili na Kiingereza na kusema bidhaa hizo zitakuwa hazijasajiliwa.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wapewa hadhari kulinda taifa

Pereira Ame SilimaNAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, ametoa mwito kwa Watanzania katika mikoa ambayo uandikishaji wa vitambulisho vya taifa unaendelea, wawe makini kutambuana ili kuwataja wanaowashuku kuwa si raia wa Tanzaia, ili wachunguzwe kabla ya kuandikishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Hadhari ya maisha kupanda yatajwa Bungeni

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Kidawa Saleheimesifu juhudi za serikali za kutaka kuongeza fedha kwenye Mfuko wa Umeme Vijijini (REA) kwa kupandisha bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, lakini ikaitaka serikali kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza kwa hatua hiyo.

 

9 years ago

GPL

UTAMU WA PENZI NI NIPE,NIKUPE SI VINGINEVYO!

JUMAMOSI nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano. Mapenzi ‘yana-run’ dunia hivyo si vibaya kila siku tukaendelea kuyajadili na kupeana mbinu mbalimbali ambazo zinasaidia katika maisha yetu ya kila siku. Kwa tuliokuwa pamoja wiki iliyopita tulijifunza faida za kufufua penzi lililokufa. Wengi sana mlinitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuonesha mmeguswa...

 

10 years ago

Mwananchi

Suala la usalama wa maisha majuu : Hadhari na tahadhari

Saa saba usiku. Navinjari maduka machache, makubwa makubwa yasiyofungwa kucha kutwa. Maduka ya Waturuki. Kimya cha fisi, saa hizi za usingizi, mitaa ya London. Kisicholala, hali kadhalika, ni taa za barabara na magari yasiyokwisha Ulaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa atoa hadhari kuhusu Katiba Mpya

 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuwa waangalifu ili mchakato wa Katiba Mpya usiwe sababu ya kupigana au kufarakana ili kupata Katiba itakayoendelea kudumisha amani, upendo, utulivu na ushirikiano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani