Panda, kushuka majuu 2013
Mwaka 2013 ulikuwa wa furaha na huzuni kwa baadhi ya wasanii majuu. Vifo, ndoa, uchumba, mauzo, kupanda na kushuka katika chati vilitawala mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASTAA WA FILAMU WALA SHAVU MAJUU
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu akizungumza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) .
JB akielezea safari yao itakavyokuwa.
Mzee Majuto akielezea furaha aliyokuwa nayo kutokana na safari hiyo.…
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Suala la usalama wa maisha majuu : Hadhari na tahadhari
Saa saba usiku. Navinjari maduka machache, makubwa makubwa yasiyofungwa kucha kutwa. Maduka ya Waturuki. Kimya cha fisi, saa hizi za usingizi, mitaa ya London. Kisicholala, hali kadhalika, ni taa za barabara na magari yasiyokwisha Ulaya.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Majuu : takriban kila mwanamke mzuri na sigara mkononi
Macho hayana pazia. Walisema wahenga. Hapa tuliposimama macho yetu kweli hayana kizibo. Tumeganda kama nzi aliyenaswa utandoni. Nzi hana Kiswahili bali kusubiri ang’atwe ng’atwe na yule mdudu mwenye miguu na macho manane.Tumeshikwa bumbuazi tukimtazama bibiye akimwagika.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Maendeleo ya wanawake majuu na ushindi wa Wajerumani ni somo gani kwetu Afrika?
Mstuko usingizini, jijini London. Siyo makombora yanayomwagwa Gaza na Wayahudi kuua watoto na wanawake wa Kipalestina. Hapana. Hizi ni radi za Mwenyezi Mungu. Miti na madirisha yanatingisika na kutetereka.
9 years ago
Mwananchi29 Nov
KUTOKA LONDON: Hisia za woga,utata na upweke zawakabili wananchi wa kawaida majuu
Hisia tatu kuu zauandama ulimwengu wa kitajiri siku hizi.
Woga na wasiwasi wa kuuawa na magaidi wakatili. Hisia ya utata kuwa maisha hayana maana. Kwamba kifo chaweza kuwadia wakati wowote. Ya tatu ni upweke.
10 years ago
Michuzi10 Dec
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Dai kuwa eti wanasayansi walitengeneza ukimwi na ebola kuua waafrika laendelea mitaani majuu
Tunamtazama njiwa. Anasikitisha. Anachechemea akidonoa donoa mabaki ya vyakula chini. Mguu mmoja umeumia; hautumii kabisa. Njiwa wenzake, wanampita pita wakila haraka zaidi.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu
“Kenya and Friends in the Park†– yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania