Waziri aagiza maRC, DC kuchukua hadhari ya ebola
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia ameagiza waganga wakuu wa mikoa na Halmashauri za Wilaya kuongeza kiwango cha kuchukua hadhari juu ya ugonjwa wa ebola.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Sep
Wasisitiziwa kuchukua tahadhari ya ebola
WANANCHI wilayani Masasi, wametakiwa kutokuwa na hofu na badala yake waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa hatari wa ebola ikiwa ni pamoja na kuepuka kugusa ama kuingiwa na mate, damu, mkojo, jasho, kinyesi pamoja na majimaji mengine yanayotoka mwilini mwa mtu mwenye ugonjwa huo.
11 years ago
Michuzi02 Aug
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka
10 years ago
Habarileo07 Oct
Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe
9 years ago
StarTV24 Dec
Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji
Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.
Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.
Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Waziri aagiza kuimarishwa bandari ya Mkoani Pemba
WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Juma Duni Haji amelitaka Shirika la Bandari kuimarisha bandari ya Mkoani Pemba ambayo imetangazwa kuwa lango kuu la kiuchumi.
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.
10 years ago
Vijimambo05 Jan
Waziri aagiza Dawasco iwaondoe mameneja wawili
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2579182/highRes/914785/-/maxw/600/-/apy55mz/-/maji.jpg)
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ameuagiza uongozi wa Bodi ya Kampuni ya Maji Safi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), kuwaondoa mameneja wawili wa kampuni hiyo kutokana na wizi wa maji kufanyika kwenye maeneo yao.
Makalla amesema udhaifu unaofanywa na watendaji wa...