Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aagiza Dawasco iwaondoe mameneja wawili

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na watendaji wa Kampuni ya Maji Safi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) wakati wa ziara ya kuwabaini wezi wa maji jana. Picha na Kelvin Matandiko, Mwananchi
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ameuagiza uongozi wa Bodi ya Kampuni ya Maji Safi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), kuwaondoa mameneja wawili wa kampuni hiyo kutokana na wizi wa maji kufanyika kwenye maeneo yao.

Makalla amesema udhaifu unaofanywa na watendaji wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waziri Simbachawene aagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa biashara wawili wa manispaa ya Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw. Elias N. Kamara na Bibi Donatila D. Vedasto (Afisa Biashara) kuanzia leo tarehe 30/12/2015 kwa kosa la kusababisha urasimu katika utoaji wa leseni za biashara.
Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz amuongeza Abby kwenye management yake, sasa ana mameneja wawili

Ni jambo la kawaida kwa msanii yeyote duniani kuwa na mameneja wengi ambao wanakuwa na majukumu tofauti, kwa lengo moja la kuhakikisha kazi za msanii husika zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa. Abby na Ommy Dimpoz Ommy Dimpoz pia amechukua uamuzi wa kumuongeza mtangazaji wa Choice Fm, Abby Plaatjes kwenye management yake, ambaye sasa ataungana na meneja […]

 

10 years ago

StarTV

Makala awavua umeneja wawili DAWASCO.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es salaam.

Naibu Waziri wa Maji Amos Makala ametengua wadhafa wa mameneja wawili wa kampuni ya maji safi na maji taka jijini Dawasco Peter wa Chacha wa Kimara na Robert Mugabe wa Boko kutokana na kushindwa kutekeleza vizuri wajibu wao.

 

Aidha kutokana na kutengua wadhafa wa mameneja hao, Waziri Makala ameigiza bodi ya wakurugenzi ya DAWASCO kuhakikisha inateua haraka wakurugenzi wapya watakaoshika nafasi hizo.

Uamuzi huo wa Naibu Waziri Makala ameutoa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI , AWAFUNDA MAMENEJA MIKOA WA TBA NCHINI

 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA), Arch. Elius Mwakalinga, akisoma taarifa ya mkutano wa Mameneja mikoa wa TBA nchini uliofanyika jijini Dar es salaam, katikati kulia ni Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli, akisikiliza kwa makini taarifa hiyo.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kulia), akifafanua jambo katika mkutano wa Mameneja wa mikoa wa TBA nchini, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi wa TBA Dkt. Edward...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AWAAGIZA MAMENEJA WA TANROADS KUIMARISHA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU KATIKA MAENEO YAO


Charles James, Globu ya Jamii

KUTOKANA na mvua kali ambazo zinaendelea kunyeesha katika maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewaagiza mameneja wote wa TANROADS nchini kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja kwenye maeneo yao.

Agizo hilo pia limeenda kwa Mamlaka za hali ya news nchini kuhakikisha wanatoa taarifa za hali ya hewa hususani za mvua mara kwa mara kwa wananchi.

Waziri Kamwelwe pia ametoa wito kwa wananchi wote kuchukua...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISAHATI NA MADINI AKUTANA NA MAMENEJA WA TANESCO,MKOA LINDI, MTWARA, PWANI NA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (katikati) akiwa katika kikao kilichojumuisha watendaji wa TANESCO, REA, na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Kulia kwa Waziri ni, Mhandisi Nishati Mwandamizi, kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Salum Inegeja na kushoto ni Mhandisi Thomas Visi, Meneja wa kampuni ya Naomis Corporate Ltd inayotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini katika mkoa wa Mtwara.Mhandisi Mkuu Usambazaji Umeme...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu aombwa kutembelea Dawasco

MBUNGE wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufanya ziara katika ofisi za Dawasa na Dawasco ili ‘kutumbua majipu’ ya yaliyopo katika taasisi hizo za umma. Mnyika ambaye ni Mbunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alidai jana kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ya kumuomba Waziri Mkuu kuingilia kati tatizo hilo, baada ya kutoridhishwa na hatua alizochukua Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kufanya ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka

Serikali imesema haitaogopa wala kumvumilia mtu atakayevamia maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba kwa lengo la kuhujumu maliasili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani