Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Missenyi wawahofia askari wa Uganda

WATANZANIA waishio mpakani mwa nchi za Tanzania na Uganda  eneo la Mtukula lililopo wilayani Missenyi, Kagera, wamesema  wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na askari wa Uganda kuingia upande wa Tanzania  kukamata...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Missenyi na hofu ya mradi mpya wa maji

“NASHANGAA kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Missenyi  kuingilia  kati mradi  wa maji  wa wananchi ulioanza  miaka 42 iliyopita.” Hivyo ndivyo anavyosema Patricia Edward ambaye ni miongoni mwa wakazi wa  Kata...

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda

Wapiganaji wa kiislamu wa Alshabab wamesema katika maneno yao kuwa linawashikilia mateka wa kivita kutoka Uganda waliowateka wakati wa mashambulizi ya wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU AONGOZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUAGA MIILI YA ASKARI WALIOUAWA KINYAMA

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari wawili waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga, mkoani Pwani hivi karibuni. Shughuli za kuiaga miili hiyo zilifanyika leo Jumatano Aprili 1, 2015 katika viwanja vya hospitali polisi barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam . Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. Askari hao waliuawa kinyama wakiwa kazini kwenye kizuizi cha polisi huko Vikindu kati ya mikoa ya Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

DC Missenyi aahidi kufuata sheria, taratibu

MKUU mpya wa Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, Fadhir Nkurlu amewaahidi wananchi wa wilaya hiyo na uongozi wa mkoa huo kufanya kazi kwa misingi ya sheria na taratibu za nchi pasipo kumuonea mtu.

 

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

10 years ago

Michuzi

DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF). Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

5 years ago

Michuzi

BILIONI 15.1 KUMALIZA KERO YA MAJI MIJI YA KYAKA BUNAZI - MISSENYI.

Na Abdullatif  Yunus Michuzi TV.

Wananchi na Wakazi wa Miji ya Kyaka, Bunazi na maeneo ya jirani, Wilayani Missenyi Mkoani Kagera huenda wakaondokana na changamoto ya upatikanaji wa Huduma ya Maji inayowakabili kwa sasa, kufuatia kuanza Kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Maji ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi hao, akiwa ziarani Mkoani Kagera Mwaka Jana.

Mradi huo mkubwa unaotarajiwa kukamilika Juni 2021, umezinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof....

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu awapatia matibabu ya bure walemavu wa ngozi

1

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu.

2

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF).

3

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani