Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKENYA NA MARAFIKI ZAO KUSHEHEREKEA TAMASHA MAALUM LONDON KESHO

Na Freddy Macha 
 Baada ya mwezi mzima wa kelele, vifijo na chereko- chereko, hatimaye siku mahsusi ya burudani na biashara itawadia kesho Jumamosi 29 Agosti, 2015. Huu ni wakati wanariadha wa Kenya wanaongoza "meza ya medali " mashindano yanayoendelea mjini Beijing, China. Bango la Kenya in the Park- Aug 2015Tamasha maalum la “Kenya in the Park” linaloongozwa na kikundi cha ngoma cha Malaika Dance na Taifa Radio FM chini ya msanii na mwanahabari, Lydia Olet, mkazi London, yatafanyika uwanja wa mpira wa Rugby na Soka kitongoji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakenya watamba London Marathon

Wakenya walishinda nafasi za kwanza mbili katika mbio za wanaume na zile za wanawake huko London.

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA

 Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa  Vodacom Tanzania Shamsa Hamud(anaewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd. Watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KESHO NDIYO KESHO TAIFA

SIKU iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani mbalimbali imewadia ambapo kesho Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa likichukua nafasi. Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli. Akizungumza na Centre Spread, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kuwa maandalizi yote yameshafanyika na tayari mkali wa muziki kutoka Nigeria...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watanzania na Wakenya washinikiza serikali zao kutangaza 'lockdown'?

Baadhi ya raia wa Tanzania na Kenya wamekua wakizitaka serikali zao zitangaze amri ya watu kukaa nyumbani ili kudhibiti maambukizi ya coronavirus. Lakini je marufuku hii ya ''lockown'' ina maana gani?

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA‏

Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa  Vodacom Tanzania ShamsaHamud(anayewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd.… ...

 

10 years ago

Michuzi

SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA

pichaaaaaNa Pamela Mollel wa jamiiblog.Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi  wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa” .
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE

PMO Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani