Wakongo waichongeaTicts kwa Dk Mwakyembe
Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam wamemlilia Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe awasaidie kutatua vikwazo wanavyokumbana navyo ili kurahisisha biashara zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Rais Kikwete ahitimisha mafunzo ya wakongo na atunuku kamisheni kwa watanzania 23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi waliohudhuria sherehe hizo Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa Kitanzania 23 miongoni mwa maafisa 437 wa kundi la 53/13 – Kongo. Kundi hilo liliwajumuisha maafisa wa kitanzania wapatao 23 na wahitimu 414 kutoka Kongo.
Jumla ya wanajeshi 414 kutoka Jamuhuri ya...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Rukwa kuwadhibiti Wakongo kujikinga na ebola
MKUU wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya ameamuru pawepo udhibiti wa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wanaoingia usiku mkoani humo kupitia Ziwa Tanganyika ikiwa ni sehemu ya kujihadhari na ugonjwa wa ebola.
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Wakongo kuamua Ngorongoro Heroes vs Nigeria
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuchezesha mechi namba 19 ya kufuzu fainali za vijana, kati ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ na Nigeria,...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Wakongo walichagiza waimbaji, wapigaji kucheza jukwani
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Waziri Mwakyembe awapongeza FastJet kwa huduma nzuri kwa wateja
Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani.
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XHBq5drzfB4/VkiV2Z2_nwI/AAAAAAAIF7o/1RLZCL2n3zs/s72-c/Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg)
WAZIRI MKUU ACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII - MWAKYEMBE
![](http://2.bp.blogspot.com/-XHBq5drzfB4/VkiV2Z2_nwI/AAAAAAAIF7o/1RLZCL2n3zs/s1600/Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg)
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana na uteuzi utakaoidhinishwa na Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye huwasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge na baadaye...
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Waziri Mkuu hachaguliwi kwa kura za maoni wala kwa mitandao ya kijamii – Mwakyembe
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Na Lilian Lundo, MAELEZO-DODOMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana na uteuzi utakaoidhinishwa na Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.
Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye...
10 years ago
Mwananchi19 Oct
JK atunuku maofisa 23 JWTZ, Wakongo 414 wahitimu TMA
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Waishtaki Sumatra kwa Dk Mwakyembe