Wakristu watoroka Qaraqosh Iraq
Maelfu ya Wakristu wametoroka mji wa Qaraqosh Nineva baada ya wapiganaji wa Kiislamu kuuteka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
IS yawateka wakristu 90 Syria
Kundi la Islamic State limewateka nyara watu 90 wa jamii ya wakristo kutoka katika kijiji kimoja kazkazini mwa Syria.
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Wakristu wazika waumini waliouawa Pakistan
Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Wakristu zaidi watekwa nyara Syria
Kuna hofu kuwa raia wakristo kutoka Syria wametekwa nyara na wanamgambo wa Islamic State.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Papa 'wakristu wasilipize kisasi' Afrika ya Kati
Papa Francis amewaomba wakristo wasilipize kisasi dhidi ya Waislamu katika jamhuri ya Afrika ya Kati
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Wasomali watoroka vita Yemen
Wasomali waliotorokea Yemen sasa wameanza kurudi nyumbani baada ya vita kuzidi nchini Yemen.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini
Serikali ya Sierra Leone imeonya kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola na ambaye ametoroka hospitalini
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Waraibu wa mihadarati watoroka matibabu
Takriban watumiaji 400 mihadarati wametoroka kutoka katika kituo cha waathiriwa wa dawa za kulevya Kaskazini ya Vietnam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnV9FECKhapazr5PkFej447XqGmMvXB1KhcwHEBWIMvu-KIV1KUSoIjIIRX178AAeZNZ32LZfh5RUfCKMRNPyTTh/pakistan.jpg)
WAPAKISTANI WA UNGA WATOROKA NCHINI!
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa wakiwa na Watanzania wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya wametoroka nchini.  Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux. Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi bilioni 6.2, Mbezi Beach maeneo ya ...
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Waisilamu watoroka mashambulizi CAR
Zaidi ya wakimbizi 2000 Waislamu kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamefika Cameroon baada ya kukimbia mzozo wa kidini unaoendelea nchini mwao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania