Wakulima Igunga watakiwa kutolipiza kisasi
SERIKALI wilayani Igunga, Tabora imewataka wakulima kutolipiza kisasi cha mauaji kwa wafugaji waishio wilayani Kishapu, Shinyanga ili vyombo vya dola vifanye kazi yake. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mkuu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Apr
‘Wakulima Igunga msilipize kisasi’
SERIKALI wilayani Igunga Mkoani Tabora imewataka wakulima wilayani humo, kutolipiza kisasi cha mauaji kwa wafugaji waishio wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ili vyombo vya dola vifanye kazi yake.
9 years ago
StarTV02 Nov
Magufuli aombwa kutolipiza kisasi
Baadhi ya Vijana wa Manispaa ya Songea wamemwomba Rais Mteule Dokta John Magufuli kutofuata itikadi za vyama au kulipiza kisasi bali afuate kanuni, taratibu na sheria katika kuwaletea Watanzania maendeleo.
Vijana hao wamesema Dokta Magufuli ndiye aliyeteuliwa na Mwenyezi Mungu hivyo vyama vyote havina budi kuacha malumbano bali sasa vimuunge mkono katika kufanya kazi.
Vijana hao wakiongozwa na Kijana Makunde Richad na Diwani wa Tanga kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Mussa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki
WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Igunga watakiwa kufichua waganga wa jadi matapeli
WANANCHI wilayani Igunga mkoani Tabora wametakiwa kuwafichua waganga wa jadi matapeli hasa wale wanaoshiriki katika mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino ili waweze kufikishwa katika vyombo vya sheria.
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Jeshi la Polisi Igunga lashikiliwa Ng’ombe 320 waliovamia mashamba ya wakulima na watu saba watuhumiwa kuharibu mali na kujeruhi
Ng’ombe wa wafugaji wa kabila la Kitaturu waishio kijiji cha Isakamaliwa, Wilayani Igunga wakiwa katika kituo cha Polisi Igunga wakiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia mashamba ya wakulima wa kijiji hicho.
Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Isakamaliwa ambao mashamba yao yalivamiwa na mifugo hiyo wakiwa kituo cha Polisi wakisubiri maelekezo ya askari mara baada ya kuwafikisha Ng’ombe waliovamia mashamba yao na kuwasababishia hasara.
Na Jumbe Ismailly,Igunga
JESHI la polisi wilayani...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi
9 years ago
Mwananchi26 Nov
‘Wakulima watakiwa kutoa ushirikiano
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Wakulima watakiwa kujua umuhimu wa simu
WAKULIMA nchini wametakiwa kufahamu umuhimu wa teknolojia ya simu za mkononi katika kilimo na kupewa fursa ya kutoa mawazo yao ili kuongeza tija katika kupambana na janga la njaa. Kauli...
11 years ago
MichuziWAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO
Wakulima wametakiwa kutumia fursa ya kuongeza thamani mazao yao ili waweze kunufaika zaidi kiuchumi kuliko kuuza mazao yao yakiwa ghafi kwani watakuwa wanayonywa na kuzidi kuwa masikini.
Wito huo umetolewa jana na Ofisa masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, kanda ya kanda ya kaskazini yanayoendelea jijini Arusha.
Alisema kupitia Farm Africa wakulima wengi wa ufuta wa mkoa huo...