Magufuli aombwa kutolipiza kisasi
Baadhi ya Vijana wa Manispaa ya Songea wamemwomba Rais Mteule Dokta John Magufuli kutofuata itikadi za vyama au kulipiza kisasi bali afuate kanuni, taratibu na sheria katika kuwaletea Watanzania maendeleo.
Vijana hao wamesema Dokta Magufuli ndiye aliyeteuliwa na Mwenyezi Mungu hivyo vyama vyote havina budi kuacha malumbano bali sasa vimuunge mkono katika kufanya kazi.
Vijana hao wakiongozwa na Kijana Makunde Richad na Diwani wa Tanga kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Mussa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Wakulima Igunga watakiwa kutolipiza kisasi
SERIKALI wilayani Igunga, Tabora imewataka wakulima kutolipiza kisasi cha mauaji kwa wafugaji waishio wilayani Kishapu, Shinyanga ili vyombo vya dola vifanye kazi yake. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mkuu wa...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Magufuli aombwa kujenga tuta mto Kilombero
MGOMBEA ubunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakari Asenga amemwomba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli awajengee tuta pembeni ya mto Kilombero kuzuia mafuriko.
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Rais Magufuli sasa aombwa kutaifisha mashamba Kibaha
9 years ago
StarTV14 Nov
Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo
Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.
Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...
9 years ago
StarTV13 Nov
Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo
Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.
Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.
Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
JK aombwa kumtimua Muhongo
RAIS Jakaya Kikwete ameombwa kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kwa kile kinachodaiwa kuwa anadhalilisha taifa kwa kugawa madini kwa wageni na kuwaacha wazawa wakisotea gharama...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
JK aombwa kuimulika KCU
RAIS Jakaya Kikwete amepongezwa kwa hatua yake ya kuviamuru vyombo vya dola kuushughulikia uongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Tabora, uliofuja fedha za wakulima wa tumbaku. Pongezi hizo zimetolewa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
JK aombwa kutimiza ahadi
WANANCHI wa Jimbo la Ulanga Magharibi mkoani Morogoro, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake ya uchaguzi za mwaka 2010, ya kuwapatia wilaya mpya kwa mipaka ya kimajimbo. Walisema kuwa...
11 years ago
Habarileo11 Aug
JK aombwa kusitisha Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata), limemuomba Rais Jakaya Kikwete asitishe Bunge Maalumu la Katiba, lakini pia limevionya vyama vya siasa nchini kuhusiana na vitisho vya kuwashughulikia wanachama wao kuhusiana na Bunge hilo.