Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wakulima jifunzeni ujasiriamali’

Serikali imewataka vijana wa Kitanzania na wakulima wanawake kujifunza ujasiriamali kupitia shindano la Maisha Plus Mama Shujaa wa Chakula ili waweze kujifunza mbinu za kukabiliana na changamoto za maisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Jifunzeni mzani wa Vigwaza’

WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani, umewataka wasafirishaji kusoma na kuzingatia maelekezo wanayopewa ili kutosababisha foleni ya magari katika mzani mpya wa Vigwaza ambao umejengwa kisasa kwa lengo la kupunguza foleni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Jifunzeni kusaidia si kuomba msaada’

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, amewataka Watanzania kujenga utamaduni wa kutoa misada badala ya kutegemea ufadhili kutoka nje ya nchi. Silaa alisema hayo kwenye hafla ya makabidhiano ya...

 

10 years ago

CloudsFM

Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.
Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.

Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa kupitia yeye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Madaktari wazawa jifunzeni upasuaji wa matobo’

KUTOKANA na uhaba wa huduma za upasuaji kwa njia ya matobo nchini, madaktari wazawa 200 kutoka hospitali mbalimbali wameshauriwa kujifunza aina hiyo ya upasuaji inayopunguza gharama za wagonjwa wasio na...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live

Dk. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNa Festo Polea

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.

Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.

Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

KUSAYA: VIJANA JIFUNZENI KILIMO BIASHARA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akikagua kitalu nyumba kilichopandwa nyanya na vijana walliopo katika Kituo Atamizi cha Vijana kujifunza Kilimobiashara chini ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine mjini Morogoro.
Kijana Hefsida Olloo (Kushoto)akitoa maelezo ya nanma alivyofanikiwa kuzalisha nyanya katika kitalu kwenye kambi Atamizi ya SUA .Hefsida ni mhitimu wa Shahada ya Sayansi katika Hisabati toka Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka 2018 aliyeamua kufanya kilimo biashara.Kulia ni Katibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Watendaji Polisi jifunzeni kwa RPC wa Mbeya

Nimevutiwa na utaratibu anaoutumia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi wa kutoa taarifa ya matukio mbalimbali ya uhalifu mkoani mwake.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani