Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wa parachichi wahitaji elimu zaidi ya magonjwa ya zao hilo

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wakulima wa zao la parachichi wa kijiji cha Igongolo wilayani Njombe,wamesema licha ya kupata elimu na kufanikiwa katika kilimo hicho lakini wametoa wito kwa wataalamu wa serikali na wadau wa kilimo kuendelea kutoa elimu katika zao hilo kutokana na changamoto ya magonjwa wanayokumbana wakati wa kilimo.
Mwenyekiti wa kikundi cha wakulima wa parachichi cha Nguvu kazi kilichopo kijiji cha Igongolo Fanuel Salingwa kwa niaba ya wakulima wa parachichi amewaeleza wataalamu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAKULIMA WAHITAJI ELIMU ZAIDI MAGONJWA YA ZAO LA PARACHICHI


 Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wakulima wa zao la parachichi wa kijiji cha Igongolo wilayani Njombe,wamesema licha ya kupata elimu na kufanikiwa katika kilimo hicho lakini wametoa wito kwa wataalamu wa serikali na wadau wa kilimo kuendelea kutoa elimu katika zao hilo kutokana na changamoto ya magonjwa wanayokumbana wakati wa kilimo.
Mwenyekiti wa kikundi cha wakulima wa parachichi cha Nguvu kazi kilichopo kijiji cha Igongolo Fanuel Salingwa kwa niaba ya wakulima wa parachichi amewaeleza...

 

9 years ago

Vijimambo

WAKULIMA WA PAMBA WAWEKA MAWE KWENYE ZAO HILO KUSUDI WAPATE UZITO ZAIDI

Moja ya shehena ya zao la pamba zaidi ya tani 12 zikiwa ziwekiwa maji na mawe ili kuongeza uzito kwenye mzani wa pamba kwenye kiwanda cha nida wilayani kahama ambapo zaidi ya tani tatu za mawe zilikutwa kwenye pamba hiyo .Haya ni baadhi ya mawe yalikutwa kwenye pamba ambayo imetokea wilya ya igunga mkoani Tabora ambapo kulikuwa na kila moja jiwe likuwa na kilo kumi mpaka ishirini .Moja wa wapangazi wa wa zao la pamba katika kiwanda cha nida kitoa maelenzo juu ya jinsi alivyoshangaa kuona...

 

5 years ago

CCM Blog

PARACHICHI, DHAHABU YA KIJANI INAYOWANUFAISHA ZAIDI YA WAKULIMA 10,000 TANZANIA


Ni dhahiri kwamba kwa muda mrefu tumekuwa tukiangalia Parachichi kama zao la kawaida hasa katika nchi yetu ya Tanzania. Kwa sasa zao hili limekuwa kati ya mazao makuu ya biashara kutoka Tanzania.

Ni Kweli kwamba zao hili linalopatikana kwa wingi Njombe, Iringa, Mbeya na Kilimanjaro lenye asili ya muda mrefu kutoka Guatemala Mexico sasa limekuwa kati ya mazao makubwa ya biashara duniani. Zao hili kwa sasa linaipatia nchi ya Tanzania takribani Shilingi Bilioni 27.6 kwa Mwaka ikiwa ni kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA KAROTI WALIA NA BEI YA ZAO HILO

Kiroba cha karoti ambacho kwa huko shambani kinauzwa kwa shilingi elfu tano tu fedha ambazo inasemekana ni kidogo ikilingamishwa na uzalishaji wa zao hilo Wakulima mashuhuri wa mbogamboga ikiwemo karoti katika kijiji Ndabwa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, Rehema Shegulio  (kushoto) na Hadija Shabani wakiwa wameshikilia karoti zao ambazo ni kubwa mithili ya mihogo. Picha na Vedasto Msungu 

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa elimu kwa wakulima juu ya uzalishaji bora wa zao la Shayiri

001.Joel Msechu mtaalamu wa shyiri kutoka TBL akiwaonyesha wakulima magonjwa wa shyiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo

 Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.

01-Dr Bennie Basson akiwaonyesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha shayiri

Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA PARACHICHI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu mitambo inayotumika kutengeneza na kusaga zao la parachichi kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa kiwanda cha Olivado Bw. Ngukula Lihuluku wakati wa ziara yake katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe.Meneja Uzalishaji wa kiwanda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto Moro wahitaji ulinzi zaidi

WATOTO wanaoishi katika mazingira magumu katika Manispaa ya Morogoro, wameandamana mjini hapa wakishinikiza kupatiwa ulinzi wa kutosha. Watoto hao walitoa ombi hilo juzi, baada ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya...

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani