WAKULIMA WAHITAJI ELIMU ZAIDI MAGONJWA YA ZAO LA PARACHICHI
Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wakulima wa zao la parachichi wa kijiji cha Igongolo wilayani Njombe,wamesema licha ya kupata elimu na kufanikiwa katika kilimo hicho lakini wametoa wito kwa wataalamu wa serikali na wadau wa kilimo kuendelea kutoa elimu katika zao hilo kutokana na changamoto ya magonjwa wanayokumbana wakati wa kilimo.
Mwenyekiti wa kikundi cha wakulima wa parachichi cha Nguvu kazi kilichopo kijiji cha Igongolo Fanuel Salingwa kwa niaba ya wakulima wa parachichi amewaeleza...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWakulima wa parachichi wahitaji elimu zaidi ya magonjwa ya zao hilo
Wakulima wa zao la parachichi wa kijiji cha Igongolo wilayani Njombe,wamesema licha ya kupata elimu na kufanikiwa katika kilimo hicho lakini wametoa wito kwa wataalamu wa serikali na wadau wa kilimo kuendelea kutoa elimu katika zao hilo kutokana na changamoto ya magonjwa wanayokumbana wakati wa kilimo.
Mwenyekiti wa kikundi cha wakulima wa parachichi cha Nguvu kazi kilichopo kijiji cha Igongolo Fanuel Salingwa kwa niaba ya wakulima wa parachichi amewaeleza wataalamu...
5 years ago
CCM BlogPARACHICHI, DHAHABU YA KIJANI INAYOWANUFAISHA ZAIDI YA WAKULIMA 10,000 TANZANIA
Ni dhahiri kwamba kwa muda mrefu tumekuwa tukiangalia Parachichi kama zao la kawaida hasa katika nchi yetu ya Tanzania. Kwa sasa zao hili limekuwa kati ya mazao makuu ya biashara kutoka Tanzania.
Ni Kweli kwamba zao hili linalopatikana kwa wingi Njombe, Iringa, Mbeya na Kilimanjaro lenye asili ya muda mrefu kutoka Guatemala Mexico sasa limekuwa kati ya mazao makubwa ya biashara duniani. Zao hili kwa sasa linaipatia nchi ya Tanzania takribani Shilingi Bilioni 27.6 kwa Mwaka ikiwa ni kutoka...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
TBL yatoa elimu kwa wakulima juu ya uzalishaji bora wa zao la Shayiri
Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha...
9 years ago
VijimamboWAKULIMA WA PAMBA WAWEKA MAWE KWENYE ZAO HILO KUSUDI WAPATE UZITO ZAIDI
5 years ago
MichuziWAKULIMA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA PARACHICHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu mitambo inayotumika kutengeneza na kusaga zao la parachichi kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa kiwanda cha Olivado Bw. Ngukula Lihuluku wakati wa ziara yake katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe.Meneja Uzalishaji wa kiwanda...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Watoto Moro wahitaji ulinzi zaidi
WATOTO wanaoishi katika mazingira magumu katika Manispaa ya Morogoro, wameandamana mjini hapa wakishinikiza kupatiwa ulinzi wa kutosha. Watoto hao walitoa ombi hilo juzi, baada ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya...
11 years ago
Habarileo26 Jan
Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) yanavyoleta wimbi la magonjwa na wadudu kwenye zao la mahindi
Mkuu wa mradi wa utafiti Dk. Paul-Andre Calatayud, kutoka IRD/icipe, (kulia) akiwa tolea maelezo juu ya mdudu anayeharibu zao la mahindi, stem borer (Bungu/viwavi/funza) kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani) katika eneo la kijiji cha Kipuzi kwenye Kaunti ya Taita Taveta, Mombasa nchini Kenya.Kushoto kwake ni Joel ambaye ni mwenye shamba hilo lililo katika utafiti huo.
Na Andrew Chale, aliyekuwa Mombasa, Kenya
Imefahamika kuwa mimea mingi hasa mazao ya chakula inaandamwa na magonjwa ya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wakulima kuboresha zao la tumbaku
WAKULIMA wa zao la tumbaku nchini, wameahidi kuongeza juhudi za kulifanya liwe bora zaidi ikiwa ni pamoja na kulitunza, kulichambua na kuondoa uchafu kabla ya kuliuza, ili lifikie viwango vya...